ARGAN MARA
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 927
- 2,510
Habari wakuu hii ni hospital inayojengwa toka miaka ya 80 huko mkoani Mara kwa ajiri ya kuwa hospital ya rufaa mpaka leo aijakamilika lakin chato uwanja wa ndege wa kimataifa umekamilika kwa mda mfupi tu jamn kwa kwel inauma sana nani wa kuiyokoa hii hospital ambayo aliasisiwa na baba wa taifa.View attachment 1098769