Mpaka leo hii huwa naenda sehemu nakaa navuta bangi. Natafakari sioni ubaya wake

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Huwa najiuliza ubaya wa bangi ni nini? Sipati majibu binafsi navuta halafu naanza kuwaza kwa kina ubaya wake nini? Sioni hata.

Naenda navuta tena then nakaa sehemu nawaza ubaya wa bangi ni nini? Sioni

Ikiisha kichwani navuta tena then nakaa sehemu najiuliza ubaya wa bangi ni nini?Sioni

Sasa kwa nini wanywa pombe wanasehemu pombe zinauzwa,sigara n.k sisi wa kalabangi haturuhusiwi?wakati kuna wadosi kibao tu tunakwesa nao.

Hapa nmevuta nikakaa nikawaza ubaya wa bangi ni nini? Sioni.

Ngoja kwanza

Nmefjfkabfk hakdhrl hakdnrbdud lasheurf hsshdud jalddbrbej hajskx dnwiwwmdy zbxkweocmff masndeje. Sjdldkdjelsd sksbeuwksfnrh jsjdrlebssl sksneheisbem sksksjdbeso zjsiws jdje
Anajsiddidneeuxdi

Sjsjdjebzxjsxbeufbdkxcndk skwkdufens sisnxebe dksbdej sowbduw df owejhe e.sioni.
 
Sitasahu siku moja niko safarini kuelekea Babati nikipitia barabara ya Arusha.

Kwenye basi alikuwepo kijana mmoja rasta ambaye alikuwa anabishana sana na mzee mmoja kuhusu suala la imani.

Yule mzee anamwambia kijana wakristo wanaabudu Mungu/Yesu na waislamu wanaabudu Allah, nyie marastaman Mungu wenu nani? Na mnaabudu wapi?.

Yule kijana akamwambia wanaabudu Bob Marley. Mzee katupa swali lingine, utaabudu vipi mtu aliyekufa?

Kijana akashtuka na kumuuliza yule mzee Bob kafariki mzee?

mzee hiyo chai ongeza na tangawizi izidi kunoga

Hivi nchi walizohalalisha bangi kuna ongezeko la watu kuugua magonjwa ya akili,mbona kama Bangi inasingiziwa tu au sababu haina Kodi wanaitafutia sababu.!?
 
Hivi mbunge wa Geita Vijijini Bwana Joseph a,k,a Msukuma yumo humu JF ni m tagi kwenye hii thread?
 
Nikawasha pantera huku nasonga donga, mzee mmoja akanitaja kwa jina ........hiyo ni bange? Nikamwambia hapana hii ni bangi..kwani vipi? Babu akasema hiyo mie sina hamu nayo, niliwahi kuvuta wakati nipo kijana siku ya kwanza sikuona chochote ila siku ya pili nilipanda juu ya mchungwa ili nile machungwa lakini nilikaa kule juu masaa mawili nacheka tu na mpaka nashuka sikula chungwa hata moja....nikamwambia mzee hii uiwezi basi na usijaribu...we endelea na ngedere gari na kasongo, tulikuwa wa Tz 13 vijana 7 na mabuda ila nilichogundua kati yetu woote tuliwahi kutumia kwa nyakati tofauti na wapo walioacha na wapo wanaopiga kitu, na huwezi jua labda mpaka akwambie mwenyewe...Ganja haina ubaya wowote
 
Back
Top Bottom