Siri Kubwa iliyonifanya niwe Milionea

Siri Kubwa iliyonifanya niwe Milionea

MUBIKU

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
284
Reaction score
388
Nashukuru mungu sna (ALHAMDULLILAH) mwaka 2018, umekuwa mwaka wangu wa mafanikio kwan baada ya kupitia changamoto nying za maisha, kudharaulika , chuki na fitna . Hakika mwenyez mungu alikuwa na lengo la kunifikisha hapa nilipo kwasasa nimeweza kumilik pesa ambazo zimenizid umri.
Siri kubwa ni kui trained akili yako kuekekea mafanikio na kumtumainia mungu tu. Na kujifunza kuwa MSIRI wa nini unafanya , itakusaidia Kukupa changamoto za kufikia mafanikio.
Jiunge na watu wenye mawazo chanya juu ya mafanikio, ikibid kuwa nao karbu sana. Bila kusahau hakuna naetaka kukuona UNAFANIKIWA, hivyo jiandae kuwa na madui wengi.
Wako ktk safar ya mafanikio.
 
Kwakuwa umesema ni SIRI tunashindwa kuelewa umefanya nini SIRI yako ikatimia na umeingiza milioni ngap/SIRI mpaka ujiite millionaire.
 
Mbona na wewe unatoa siri kubwa milionea? huelewekiii
 
Back
Top Bottom