Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hamida Kibavu alipata chumba Kigogo Dibwini, kodi ya mwezi ni 25,000 na amelipa kodi ya mwaka. Dalali aliyemtafutia chumba na mwenye nyumba wote wamezima simu zao.
16 Reactions
69 Replies
10K Views
now I know why most men love watching women's tennis...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wadau nimeona nianzishe uzi huu kusaidia watu tuweze kujuzana maeneo ya starehe yanaweza kuwa mapya au yazamani ila muhimu ni kwamba yawe ya gharama zinazowafaa watu wa kawaida na wa...
3 Reactions
11 Replies
4K Views
Waungwana poleni na majukum ya hapa na pale.... Katika pita pita zangu za hapa na pale kwenye google nilipata kuona mishahara ya professional mbalimbali.... Ila nikavutiwa sana na hii ya system...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kasi kubwa ya wafanyabiashara kufunga biashara zao. Biashara yeyote sharti kuwe na faida hata ikiwa ni ndogo lakini kama mfanyabiashara haoni faida basi suluhisho...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kampuni ya IPP imetangaza kuanza ujenzi wa kiwanda cha kwanza cha kutengeneza simu janja maarufu kama smartphone, simu zitakazokuwa na uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa wiki moja na kwa...
40 Reactions
241 Replies
38K Views
Sitaki kueleza mambo mengi hapa ila kwa nia njema kabisa, kwa moyo mkunjufu wa kizalendo naomba niwaombe NACTE watoke ofisini watembelee hivi vyuo vya kati na ikibidi waongee na wanachuo bila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda...
3 Reactions
126 Replies
33K Views
Naomba kujua kama Bima ya afya inayotolewa na NSSF inafanya kazi hata kwenye Hospitali za rufaa.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kwa masikitiko makubwa sana jana usiku wa saa mbili maeneo ya Shekilango Ubungo askari wa kikosi cha barabarani mmoja wapo akiwa amelewa walikuwa na kazi za kuwakamata wenye Bodaboda na wenye...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Ndugu wapendwa habarini za jioni! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni muongozo wa uwiano wa kufundisha watoto wenye ulemavu wa akili. Ikiwezekana hata nikipata katika PDF . shukrani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[https://4] Hadi sasa watu 1,901 wamegundulika kuwa na ugonjwa wa Dengue nchini huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ukiwa na wagonjwa 1800, maambukizi yanaelezwa kupanda kwa kasi hadi watu 74 kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya clip kuvuja ya gwajima akizini mchana kweupe, wengi walitegemea aje na ushahidi uliojaa kukana kuwa sio yeye, kwa hoja nzito nzito, lakini amejiabisha na amethibitisha ni yeye asilimia...
9 Reactions
86 Replies
15K Views
By Special Correspondent, Dar es Salaam The Fifth Phase Government under the leadership of the President Dr. John Pombe Magufuli, has continued to be commended on the vast development reforms...
0 Reactions
0 Replies
540 Views
Nimesoma gazeti la Mwananchi la leo kwamba pamoja na mmiliki kushinda kesi na kutakiwa kuendelea na biashara zake, polisi hawampi ushirikiano ili arudi katika eneo lake licha ya kwamba eneo lote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Niwe tu mkweli jana nilikwazika kumuona Gwajima Askofu akiongea na waandishi wa habari ndani ya kanisa badala ya ofisini kwake. Yale maneno aliyokuwa anaongea askofu Gwajima hayakupaswa kuongelewa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Kiukweli Iringa ina wajasiriamalia wengi sana na kwa makadirio ya haraka wanazidi hata laki moja. Kilichonishangaza ni kitendo cha mkoa wa Iringa kushika nafasi ya 23 kati ya mikoa 26 ikiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Magari mawili tofauti lakini yanafanana namba za usajili. Wataalam wa haya mambo njooni mtupe elimu kuhusu huu mkanganyiko!
0 Reactions
43 Replies
7K Views
Unapoenda ugenini mara nyingi mtu unakuwa mpole ili kuendana na mazingira hasa kukwepa aibu ama kufanya kituko kitakachowafanya wenyeji wako wakufikirie tofauti. Mara nyingi watu wakiwa ugenini...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…