Bila Serikali kubadilika, wafanyabiashara kuendelea kufunga biashara

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kasi kubwa ya wafanyabiashara kufunga biashara zao. Biashara yeyote sharti kuwe na faida hata ikiwa ni ndogo lakini kama mfanyabiashara haoni faida basi suluhisho ni kufunga biashara yake.

Nitoe tu mfano mdogo tu gharama anazotumia mfanyabiasha katika biashara yake. (1) Kodi ya mapato (20) Leseni ya biashara (3) Kodi kwa mamlaka ya Serikali ya Mtaa kupitisha maombi yake (4)Kodi ya ukaguzi ya Afya (5) Hotel levy (6) Kodi uya Idara ya fire (7)Service levy (8) TFDA (9) Kodi ya kupima afya za wafanyakazi (10) Gharama ya mwenge kila inapofika kwenye Wilaya. Hizi ni chache tu.

Kwa kodi hizi mfanyabiashara wa kawaida ataweza kufanya biashara na kupata faida?.
 
Umesahau garama ya ulinzi pia Mkuu,,

Pia hapo sijaelewa maana umechanganya mafaili ,kuna tozo naona hapo zinahusu watu walio ajiriwa na si mfanyabiashara
 
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kasi kubwa ya wafanyabiashara kufunga biashara zao. Biashara yeyote sharti kuwe na faida hata ikiwa ni ndogo lakini kama mfanyabiashara haoni faida basi suluhisho ni kufunga biashara yake.

Nitoe tu mfano mdogo tu gharama anazotumia mfanyabiasha katika biashara yake. (1) Kodi ya mapato (20) Leseni ya biashara (3) Kodi kwa mamlaka ya Serikali ya Mtaa kupitisha maombi yake (4)Kodi ya ukaguzi ya Afya (5) Hotel levy (6) Kodi uya Idara ya fire (7)Service levy (8) TFDA (9) Kodi ya kupima afya za wafanyakazi (10) Gharama ya mwenge kila inapofika kwenye Wilaya. Hizi ni chache tu.

Kwa kodi hizi mfanyabiashara wa kawaida ataweza kufanya biashara na kupata faida?.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Umesahau mabango ukiweka tu unafuatwa, kulipia gari la taka kulipia parking vile vijamaa viko na mashine zao kila mtaa mpaka wateja wanaona kero hapo bara tra wajakubonda makadirio vp wenzetu mnaofanya kazi serikalini hizi kodi mkija kitaa ku do business mtaziweza.
 
Kama nusu saa iliopita nimeenda sehemu fulani kuna bar/hoteli kubwa tu. Nimesikitika sana kuona paka wakiwa wamekaa mezani na wahudumu wamekaa tu pembeni wanapiga stori. Sehemu iliyoandikwa NYAMA CHOMA mpaka mda huu sikuona dalili yoyote ya mtu kuwepo, achilia mbali nyama yenyewe wala moto haujawashwa. Nikiangalia investment iliyofanyika hapo mahala si chini ya m50 kwa mahesabu ya haraka haraka. Sasa sijui hizo gharama ulizotaja zinalipikaje kwa hali hii? Na je kama huyu mtu alichukua mkopo itakuaje? Nimejikuta nawaza sana..

Ni ukweli usiopingika kuwa kuna kasi kubwa ya wafanyabiashara kufunga biashara zao. Biashara yeyote sharti kuwe na faida hata ikiwa ni ndogo lakini kama mfanyabiashara haoni faida basi suluhisho ni kufunga biashara yake.

Nitoe tu mfano mdogo tu gharama anazotumia mfanyabiasha katika biashara yake. (1) Kodi ya mapato (20) Leseni ya biashara (3) Kodi kwa mamlaka ya Serikali ya Mtaa kupitisha maombi yake (4)Kodi ya ukaguzi ya Afya (5) Hotel levy (6) Kodi uya Idara ya fire (7)Service levy (8) TFDA (9) Kodi ya kupima afya za wafanyakazi (10) Gharama ya mwenge kila inapofika kwenye Wilaya. Hizi ni chache tu.

Kwa kodi hizi mfanyabiashara wa kawaida ataweza kufanya biashara na kupata faida?.
 
Kama nusu saa iliopita nimeenda sehemu fulani kuna bar/hoteli kubwa tu. Nimesikitika sana kuona paka wakiwa wamekaa mezani na wahudumu wamekaa tu pembeni wanapiga stori. Sehemu iliyoandikwa NYAMA CHOMA mpaka mda huu sikuona dalili yoyote ya mtu kuwepo, achilia mbali nyama yenyewe wala moto haujawashwa. Nikiangalia investment iliyofanyika hapo mahala si chini ya m50 kwa mahesabu ya haraka haraka. Sasa sijui hizo gharama ulizotaja zinalipikaje kwa hali hii? Na je kama huyu mtu alichukua mkopo itakuaje? Nimejikuta nawaza sana..
Kama nusu saa iliopita nimeenda sehemu fulani kuna bar/hoteli kubwa tu. Nimesikitika sana kuona paka wakiwa wamekaa mezani na wahudumu wamekaa tu pembeni wanapiga stori. Sehemu iliyoandikwa NYAMA CHOMA mpaka mda huu sikuona dalili yoyote ya mtu kuwepo, achilia mbali nyama yenyewe wala moto haujawashwa. Nikiangalia investment iliyofanyika hapo mahala si chini ya m50 kwa mahesabu ya haraka haraka. Sasa sijui hizo gharama ulizotaja zinalipikaje kwa hali hii? Na je kama huyu mtu alichukua mkopo itakuaje? Nimejikuta nawaza sana..

Ukiwa na akili timamu lazima uumie..inaumiza sana
 
Hivi biashara mpya zilizofunguliwa zina hali gani? Wanajisifia zimefungwa chache zikafunguliwa nyingi, hivi ni kweli?
 
Huu ndo uchumi wa kati Jana JPM kasema uchumi wetu unakuwa kwa kasi ya 7.1. na kwa EA.Tz ndo tunaongoza..ikifuatiwa sijui na wap vile amesena nchi zingine uchumi unakua kwa 3.5...Nikajikuta naanza kuimba Tenzi za rohoni..Tuonane Mtoni
Naam twonane mtoni,watakatifu kwetu ni mtooniii...tutakutanika mtonii penye kiti cha Mungu.
 
Nina kibiashara changu sijawahi kukosa wateja kama sasa ilivyo unakaa hata siku tatu hamna mteja
 
Back
Top Bottom