Mafuta ya taa yana madhara gani kwa nyoka?

Mafuta ya taa yana madhara gani kwa nyoka?

coyyote

Member
Joined
Aug 12, 2018
Posts
53
Reaction score
88
Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a
20190515_213456.jpeg
 
Wadau, nimemkamata uyu mtuhumiwa nyumbani, sasa nikasema nimwagie mafuta ya taa ili nimchome moto, aseeee ile kumwagiwa tu naona kama kapata uhai upyaa tukaanza kutafutana apa wakati nilishamponda kichwa nyang'anyang'a View attachment 1098760
Aiseee chalii yangu yanamadhara sana kwa nyoka kwasababu yana photosynthesis
 
Kuna siku nyoka aliingia ndani nikamtafuta bila mafanikio, badae nikakumbuka kuhusu mafuta ya taa nilichofanya nilimwaga ndani kidogo, aise sitasahau speed aliyotoka nayo nje ndio nikamuua
 
dah mkuu nyumbani kwako snake zinaingia kiulaini kama bashite anavyoingia kiulaini kwa babake magogoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom