Mshahara wa system administrator

Mshahara wa system administrator

Digital Marketer

Senior Member
Joined
May 1, 2019
Posts
112
Reaction score
149
Waungwana poleni na majukum ya hapa na pale....

Katika pita pita zangu za hapa na pale kwenye google nilipata kuona mishahara ya professional mbalimbali....

Ila nikavutiwa sana na hii ya system administrator.....

Kwa wanaofaham......system administrators kwa Tanzania hususani kwenye makampuni ya simu mishahara Yao ina range kwenye ngapi ? (Kwa fresh graduates or one to two years experience)
 
Back
Top Bottom