Hii inawezekana vipi kutokea?


FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
2,555
Points
2,000
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
2,555 2,000
Magari mawili tofauti lakini yanafanana namba za usajili. Wataalam wa haya mambo njooni mtupe elimu kuhusu huu mkanganyiko!
img_20190514_191243-jpeg.1097732
 
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2018
Messages
420
Points
500
toughlendon_1

toughlendon_1

JF-Expert Member
Joined Feb 7, 2018
420 500
Hyo ni gari moja. Ndo maana zote zimefunguliwa boneti. Ilipigwa picha moja wakacrop zikawa mbili kwny picha moja.
Magari mawili tofauti, angalia juu ya kioo cha nyuma fananisha chek na chin kwenye jina raum alafu angalia na bomba la moshi utajua tofauti
 
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Messages
23,824
Points
2,000
Shark

Shark

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2010
23,824 2,000
Mengine yanapitishiwa bandari bubu kukwepa kodi, kwahiyo wanatumia kadi ya gari ambayo ilishakatwa screpa. Ila hapa kuna kitu wamebugi
Cloning hiyo mtu anaenda na kadi ya gari anachonga plate namba mara mbili nyingine anampa mshikaji ambaye kaingiza gari kimagumashi au kea mpakani au kanunua zanzibar.
Naona mmewashambulia wenye magari direct. Hii ni michezo ya Clearing Agents wasio waaminifu wakishirikiana na wafanyakazi wa TRA au/na TPA.

Unampa Agent pesa akakulipie kodi na akija kukuletea faili haukagui deposit slip na other receipts hapo uwezekano wa kupigwa ni rahisi tu. Wanavyofanya hawa ni kutumia malipo ya Mteja mmoja ili kutoa na gari ya polo inayofanana na ya kwanza.
 

Forum statistics

Threads 1,294,031
Members 497,789
Posts 31,162,767
Top