Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa (State Visit) itakayofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 10 ya mwezi huu.
Ziara hiyo itakuwa ya...
Kuna muda Watu hujiuliza swali hili mara nyingi sana lakini wasipate majibu. Unamwona mtu kama R. Kelly, mwenye kipaji kikubwa, utajiri na umaarufu. Ni aina ya mtu ambaye angeweza kuingia katika...
Mkurugenzi Biashara wa Vodacom Tanzania Bw. Nguvu Kamando (wa pili kulia) pamoja na Mrajisi wa Vyama Vya ushirika nchini Dk. Benson Ndiege (wa pili kushoto) wakisaini makubaliano ya matumizi ya...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema na kamtaji changu cha 1M hapa.
Nataka kuanzisha biashara ya kuuza saa ,accessories, jewellery kwa anayefahamu machimbo mazuri zaidi naomba tusaidiane
Jeshi la Polisi Kamisheni ya Zanzibar kupitia Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai Zanzibar, ilikuwa inafanya Uchunguzi wa Shauri la KUJARIBU KUJINYONGA linalomhusu Raia wa Kigeni ajulikanae kwa...
Kama wazazi wako huwa wanalalamika kuwa walijinyima sana kwa ajili yenu, basi umezaliwa na wazazi waliofeli vibaya sana. Watu hawapendi ukweli, yaani kuwaza tu hivyo wanaona tayari wanapata laana...
Licha ya Serikali za Afrika Mshariki kufanya mabadiliko ya Sera za elimu na mitaala, ripoti mpya ya kikanda imebaini kuwepo kwa mapungufu makubwa ya stadi muhimu za maisha miongoni mwa vijana...
Sehemu ya pili ya makala hii iliweka wazi chanzo kikuu cha tatizo la utoro wa wanafunzi zaidi ya 2000 kuacha masomo kila mwaka, ifikapo msimu wa kilimo katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu kuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametaja sekta tano zenye fursa kubwa za uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Urusi, akizialika kampuni...
Katika ulimwengu wetu wa sasa wa kidijitali, imekuwa kawaida sana kuchukua picha za watu (iwe zinachekesha au la) na kuzigeuza kuwa stika za WhatsApp au 'memes'. Lakini je, unajua kuwa kufanya...
Kuna muda unakaa peke yako na kujiambia, “Kama Kupambana, Nishapambana Lakini Ni Kama Najisumbua Tu.”
Unakumbuka ndoto ulizokuwa nazo, mipango uliyoweka, na juhudi ulizofanya, lakini mambo...
TUPUUZE UPOTOSHAJI WA WANAHARAKATI
Eneo tajwa lina viwanja vilivyopimwa na kuuzwa tangu mwaka 2022 ila wamiliki hawakuweza kwenda kuviona na kuviendeleza kutokana na kesi iliyokuwepo Mahakamani...
Sitishwi na Upumbavu wa Mashoga PM.
Wakuu,
Baada ya kuwasha moto jana kuhusu hili janga kwenye jamii yetu mtandao wa mashoga wanaojificha nyuma ya ID fake humu JF umewaka moto.
Badala ya...
Watu wengi hufanya kazi kwa bidii ili kupata pesa, lakini si wengi wanaojifunza jinsi pesa zinavyofanya kazi. Moja ya misingi muhimu kabisa ya kujenga utajiri ni kuelewa tofauti kati ya Asset na...
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma.
Mazungumzo hayo...
Watanzania wameaswa kuacha kusikiliza wanaharakati na wanasiasa wanaochochea vurugu na uvunjifu wa amani nchini, kwa kuwa watu hao hawana nia njema kwa Taifa Rai hiyo imeitolewa leo, Alhamisi Juni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.