Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kitu gani kwenye maisha ya sasa nwaka 2026 kama utabahatika kukipata ghafla. Utasema sasa nimefanikiwa?
3 Reactions
12 Replies
240 Views
Je suala la umri na jinsia linazingatiwaje katika mchakato wa ajira? Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Sekretarieti ya Ajira Bi. Lynn Chawala anatoa ufafanuzi. Hayo yameelezwa kupitia...
3 Reactions
2 Replies
199 Views
Mkurugenzi Mtendaji na Mwanzilishi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga akizungumza kupitia M&S PODCAST amesema; "Mimi kuna wakati nilikaa, bwana siyo siri, mpaka nikampigia simu Tido nikamwambia...
2 Reactions
14 Replies
340 Views
Chei chei Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi Msichukie...
3 Reactions
44 Replies
351 Views
Kuna kiwango cha ufahamu ukifika, unashindwa kujibu swali la umri sababu umri unaozungumzwa ni umri wa mwili siyo wako. Wewe mwenyewe umri wako huujui maana hujui kitu kinachoitwa muda. Huwezi...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025. Sheria hiyo...
3 Reactions
4 Replies
152 Views
Unaweza kuwa na bidii ya ajabu, kuamka asubuhi sana , unajituma kupiga kazi kuliko wenzaka lakini kama akili yako haina mwelekeo mbio zako zote ni bure 😔 Utakimbia haraka sana, Utapita watu...
4 Reactions
6 Replies
140 Views
Wakuu, habari za majukumu. Naandika uzi huu kwa mshangao kidogo lakini na furaha kwa mbali. Kwa saa kadhaa sasa, nimejaribu kuingia hapa JamiiForums na kule X (zamani Twitter) bila kuwasha VPN na...
3 Reactions
9 Replies
328 Views
Habari ya muda mrefu wakuu…. Baada ya miezi mingi kupita hatimaye nimerudi tena Binti wa zamani do you see me?…… Hivi mnajua kuwa mioyo yetu inauhitaji wa amani muda wote hapa duniani,na je...
3 Reactions
4 Replies
142 Views
Dunia inaongozwa na kanuni ya kichocheo na matokeo. (Cause and Effect) Hakuna jambo linalotokea tu bila sababu. Kila matokeo unayoyaona leo ni kwasababu ya jambo fulani lililofanyika kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakati watu wanasubiri mwaka 2000 kila mtu alikuwa na hofu sana kwa jinsi mijadala mingi ambayo mpaka wakina kibwetero wakatokea hapo. Mimi na kumbuka wakati tuna subiria 2000 mzee aliwaita...
1 Reactions
5 Replies
353 Views
  • Redirect
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk Emmanuel Nchimbi anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Siku ya Mazingira Duniani (WED) 2026 akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
– Replies
– Views
Anonymous (6687)
JamiiForums, tunaomba utusaidie kupaza sauti zetu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji inayowakabili wakazi wa Misongeni A (Misongeni Juu, eneo la Msikitini). Tumekuwa tukikosa huduma...
2 Reactions
2 Replies
152 Views
Habari wanaJamiiForums, naomba ushauri wenu/kuukiza kuhusu magodoro bora na yanayodumu kwa muda mrefu. Mwaka 2021 nilinunua godoro la kampuni ya super banco toka kipindi hicho mpaka sasa ni...
6 Reactions
23 Replies
6K Views
1. Hakikisha mashine inatiwa spirity ambayo itaua vijidudu vya vimelea vya magonjwa hasa VVU, mba, fangasi nk, au nunua mashine yako nenda nayo saloon mpe kinyozi akunyolee mashine yako 2...
12 Reactions
32 Replies
606 Views
Back
Top Bottom