Itakuaje CHADEMA kikifutwa na msajili wa vyama?

Itakuaje CHADEMA kikifutwa na msajili wa vyama?

Kevzy

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2026
Posts
969
Reaction score
1,692
Helooooh

Swali tu hilo na naomba moderator hasifute wala asibadili kichwa cha habari

Chama kikifutwa na msajili wa vyama mtafanyaje?

Chadema kikifutwa kwa kanuni za nchi ninyi mtafanyaje? Wanachama na viongozi wa chadema

Mtasajili chama kingine au mtasusia maswala ya siasa

Mkisajili chama kingine mtakiitaje

Au mtaamia vyama vya siasa vingine

Moderator habari
 
Siasa ya siku hizi hazitegemei saaana vyama kama zama za ujima.

Harakati zitafanyika mitandaoni.

Ndio maana unaona kina MANGE, wapo hewani.
Ok, so hawatasajili chama kipya
 
Muda mwingine jaribu kidogo kujificha, sio lazima kila mtu ajue kuwa wewe ni hamnazo.
Hamnazo wanajuana, ungekuwa una akili ungepita bila ku coment chochote
 
Helooooh

Swali tu hilo na naomba moderator hasifute wala asibadili kichwa cha habari

Chama kikifutwa na msajili wa vyama mtafanyaje?

Chadema kikifutwa kwa kanuni za nchi ninyi mtafanyaje? Wanachama na viongozi wa chadema

Mtasajili chama kingine au mtasusia maswala ya siasa

Mkisajili chama kingine mtakiitaje

Au mtaamia vyama vya siasa vingine

Moderator habari
hawana la kufanya zaidi ya kuporomosha matusi tu
humu jf na mitandaoni bas.🐒
 
CHADEMA ikifutwa itachukua muda sana kusimama upya kama wataunda chama kipya. Cha muhimu wawe watiifu kwa msajili ili asije kuwatumia kama mfano kwa vyama vingine visivyotii sheria bila shuruti.
 
CHADEMA ikifutwa itachukua muda sana kusimama upya kama wataunda chama kipya. Cha muhimu wawe watiifu kwa msajili ili asije kuwatumia kama mfano kwa vyama vingine visivyotii sheria bila shuruti.
Mkuu nafikiri wewe ni mtu aliyejibu swali vizur sana.. ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom