Mbwana Samatta atajwa kuwa ni mkenya

malkiamrembo

JF-Expert Member
Mar 29, 2015
386
231
Watanzania habari zenu hii habari mm imenigusa sana, Captain wa timu ya Taifa #TaifaStars na mshambuliaji tegemeo wa Club ya Genk ya kule Belgium na mtoto wa Mbagala Dsm, kuripotiwa na vyombo vya nje kuwa ni Mkenya hii #Tff mnayo habari?
Na Je? Kwenye habari kama hizi tff mnachukua uamuzi gani au mnafanya nini?
Juzi timu ya Captain @Samagoal77 imechukua Ubingwa wa ligi ya Belgium Je? TFF mmetoa salamu za pongezi zozote kwa Club ya soka ya Genk? Kwa sababu tuna mahusiano nao kupitia Captain na mchezaji Mbwana Samatta.
WATANZANI TUAMKE KUNA SIKU TUTASIKIA Nchi ya Tanzania tumeikopa Kenya Mlima kilimanjaro na Mbuga za wanyama tumekopeshwa .
20190518_141605.jpeg
 
Watanzania habari zenu hii habari mm imenigusa sana, Captain wa timu ya Taifa #TaifaStars na mshambuliaji tegemeo wa Club ya Genk ya kule Belgium na mtoto wa Mbagala Dsm, kuripotiwa na vyombo vya nje kuwa ni Mkenya hii #Tff mnayo habari?
Na Je? Kwenye habari kama hizi tff mnachukua uamuzi gani au mnafanya nini?
Juzi timu ya Captain @Samagoal77 imechukua Ubingwa wa ligi ya Belgium Je? TFF mmetoa salamu za pongezi zozote kwa Club ya soka ya Genk? Kwa sababu tuna mahusiano nao kupitia Captain na mchezaji Mbwana Samatta.
WATANZANI TUAMKE KUNA SIKU TUTASIKIA Nchi ya Tanzania tumeikopa Kenya Mlima kilimanjaro na Mbuga za wanyama tumekopeshwa .View attachment 1101272
Hayo ni makosa au uelewa wa mwandishi, hakuna dhamira ovu hapo.
 
Mkuu usipate tabu Sammatta atakuwepo Misri ndipo Dunia yote watajua ila sie Lupita Nyog'o ni Mkurya wa Musoma Mara Tanzania.Ukipiga ya Jicho unapigwa ya Sikio.Samagoal ni Mtanzania na huo Mtandao ni wa Kenya.
 
Profile ya Sammata Genk inaonekana ni mtanzania, tena captain wa team ya taifa, hivi viblog uchwara na viaccount vya instagram visikutishe hasahasa tu mwandishi anaonekana hayuko makini. Na hilo halibadili uhalisia
 
Wakenya wanapenda mteremko sana. Wenyewe wameona mzungu kawajengea kila kitu wanataka kulinganisha na sisi tuliojenga wenyewe. Na ndio maana hata sishangai ninapoona mambo kama hayo hawana namna nyingine ya kujitangaza. Wao kuiba iba ndio hulka yao.
 
Pengine shida ipo ktk wizara zetu ndio mara unasikia dunia nzima wanajua mt Kilimanjaro, Tanzanite,na wimbo wa malaika ni vya Kenya
 
Back
Top Bottom