Je ni nani alibuni bendera?

teledam

JF-Expert Member
Mar 6, 2017
927
1,239
Habari za wakati huu,
Kama wengi wetu tunavyofahamushwa kuwa bendera ni moja kati ya tunu za taifa letu sijui kwa mataifa mengine.
Swali ni nani alibuni ama aliyeanzisha matumizi ya bendera?
Je haikuwezekana kwa nchi/mataifa mengine kubuni alama zao tofauti na bendera?
Je kuna nchi/taifa ambalo halina bendera? taja

Wajuvi karibuni nipate kuelewa zaidi. Ni nini hasa maana ya bendera kwani kuna hadi baadhi ya madhehebu yenye bendera

Nawasilisha
 
Jamani hakuna mwenye ufahamu juu ya hili? Ama sijaeleweka!
 
nipo serious mazee nimetafuta taarifa karibu kila corner ila sijasaidika mpaka wakati huu..msaada mwenye uelewa basi
 
ama na ninyi hamfahamu kama miki..aha ahaha aha ha ha
 
Back
Top Bottom