Salama Condom Mbona hazipo Madukani?

Salama Condom Mbona hazipo Madukani?

Kinyungu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2008
Posts
22,389
Reaction score
45,052
Wakuu naulizia hizi condom pendwa ambazo zipo very effective na bei yake wanyonge wengi wanaimudu. Nimezitafuta sasa niko phamarcy ya tano naona hola. Je mzalishaji/msambazaji amebadili biashara, wale wenzangu na mm mmemrejea mola wenu au ni nn kinapelekea ikaadimika sana madukani?

images.jpeg
 
View attachment 1100816
Mkuu tumia bulls fiesta au rough rider tu usijicheleweshe ukaja kosa bure kisa ndomu
 
Hizo Condom bado ni bora sana, labda kodi imeongezeka so wamepunguza production
 
[emoji16][emoji16][emoji16] tena box la sensodine ile og ambayo ina maandishi ambayo ukipapasa kama yamevimba flan hivi
Mkuu inaonekana una uzoefu uluotukuka katika haya mambo
 
Mzee zipo ila hiyo bei ni balaa. Kuna maeneo zinauzwa buku jero mzee.

Ila kuna brand nyingine kali tu kama Boxer at reasonable price -1000/=
Wakuu naulizia hizi condom pendwa ambazo zipo very effective na bei yake wanyonge wengi wanaimudu. Nimezitafuta sasa niko phamarcy ya tano naona hola. Je mzalishaji/msambazaji amebadili biashara, wale wenzangu na mm mmemrejea mola wenu au ni nn kinapelekea ikaadimika sana madukani?

View attachment 1100816
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom