KWAKO NAIBU WAZIRI WAITARA
Kuna wakati tunaumia sana na kuishi kwa hofu kubwa, kwa sababu kuna mambo tunayaogopa sana kuyakabili, na hayo ndiyo huonyesha udhaifu wetu, na huleta kunyanyasika na...
Jana 4/4/2019 wajane walifika kwa wingi sana pale Mlimani City wakati napita pale idadi yao ilisababisha hata foleni kubwa na msongamano mkubwa sana eneo lile...kiasi kwamba nikajiuliza kwamba...
Palipo na watu kuna baadhi ya mambo huwa yanachukua muda sana kupata majawabu ya moja kwa moja. Hili la HIV na Cholera linaweza kuwa historia kwenye uso wa dunia.
Kuna vijana wengi siku hizi zaidi sana wa upinzani ambao wamejiunga na mitandao ya kijamii kwa kupata taarifa na pia kuweka taarifa za kwa jamii.
Tatizo kubwa ni namna ya kutumia mitandao hiyo ya...
kipindi cha hivi karibuni taifa la China limekuwa ni tishio kwa mataifa ya ulaya na Amerika pia, maendeleo ya china liteknolojia yamekuwa ni tishio kwa mataifa ya mangaribi
Mmarekani sasa ameanza...
Ilikuwa ikiendeshwa na kijana mdogo ambaye ametanua, yaani kupita njia tatu kisha ikamgonga dada mmoja na madereva kubadilishana usukani wakampakia yule dada na kutokomea naye, kabla watu hawaja...
Abiria waliokuwa wakisafiri na basi la kampuni ya Tahmeed lenye Namba za usajili KCN 970R wamenusurika kifo baada ya basi hilo kugongana na Lori la mizigo lenye namba za usajili T235 AXJ katika...
Jamani nimesitushwa na habar za ma gazeti juu ya ugojwa wa UTI
always tunapima ugojwa huu kila mara na ndani ya saa ushapata majibu
Leo hii eti wazir wa afya anasema hakuna kipimo cha UTI...
Binafsi nilichagua kuwa mtu wa peace and love. Kwa muda mrefu nimekuwa mtu mpole na mkimya hata pale inapotokea mtu kunikwaza siku zote nimekuwa wa kujishusha kwenye hali zote nazopitia.
ila...
Closer to home we have two interesting examples. Tanzania avoided the plague of tribalism and religious divisions that continue to haunt many East African countries. We don’t know what tribe...
Moja ya dalili kubwa kwa jogoo anayekaribia kuchinjwa huwa ni vurugu. Mara utaona kadandia pale ,mara kamwaga mchele unaochambuliwa , mara kapigana na jogoo mwenzie ,naam.....hizi ni dalidali za...
Nimekuwa nikiangalia video mbalimbali za wanyama, Nimetokea kumchukia sana simba.
Simba ni muharibifu sana na anasababisha kupunguza idadi kubwa ya baadhi ya wanyama mbugani na hata kutishia...
Sasa ni rasmi kabisa kwamba kama ukiwa ni Nesi au Daktari katika Hospitali ya Rufaa ya Musoma ( Mkoani Mara ) yakupasa kila Siku ulazimike kupata Mazoezi ya ama Ngumi au Karate ili kuweza Kujihami...
Jeshi LA Polisi Mkoani Arusha linawashikikia askari nane wa kampuni ya ulinzi ya Knight support tawi LA Arusha kwa madai ya kufanya mgomo na kumfungia nje meneja wa tawi hilo,Malima Macha...
Siku ya pili sasa huku mtaana kwetu naona viongozi wa mitaa na wananchi eti wanaandikishana, nilivyouliza wanasema kuna hela zinatolewa na nchi za nje so kila kaya itagawiwa hizo pesa.
Mimi...
Jeshi LA Polisi Mkoani Arusha linawashikikia askari nane wa kampuni ya ulinzi ya Knight support tawi LA Arusha kwa madai ya kufanya mgomo na kumfungia nje meneja wa tawi hilo,Malima Macha...
Wanabodi,
Kulipotokea msiba wa Mkurugenzi wa Vipindi Clouds TV, Ruge Mutahaba, baadhi yetu swali letu lilikuwa jee pengo la Ruge, litazibika?. Leo ndio kwa mara ya kwanza nimethibitisha pengo la...
Hamidu ni Mtanzania ambaye elimu yake ni darasa la saba tu lakini hakukata tamaa sababu aliamini kufeli elimu sio kufeli maisha, akaamua kufanya kile alichoamini anakiweza na leo hii ni Milionea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.