Hakuna ajira, Iia Watanzania utasikia wakiitana majina haya! Kwanini?

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Utasikia Vijana Wa Kitanzania Vile Wanaitana Boss, Chief, Mtaalamu, Doctor, Fundi, Mkuu, Professor, Muheshimiwa, Kiongizi, Captain Yaani Unaweza Kusema Nchi Haina Tatizo La AjiraHalafu Mtu Mwenyewe Anayeitwa Jina Hilo Sasa Hata Hana Sifa Hiyo.....

Je? Hivi Watanzania Tunakwama Wapi?
 
Tujibu wewe mtaalam
Utasikia Vijana Wa Kitanzania Vile Wanaitana Boss, Chief, Mtaalamu, Doctor, Fundi, Mkuu, Captain Yaani Unaweza Kusema Nchi Haina Tatizo La AjiraHalafu Mtu Mwenyewe Anayeitwa Jina Hilo Sasa Hata Hana Sifa Hiyo.....

Je? Hivi Watanzania Tunakwama Wapi?
 
kama nimesomea jambo fulani au nina fani fulani haimaanishi mimi nisiitwe kwa jina la fani au kazi niliyosemea hata kama sijaajiriwa kwa maana nastahili itwa hivyo coz naweza fanya lile ambalo aliyeajiriwa hufanya...na pia tunaitana hivyo kubarikiana kupata ajira zenyewe sababu kila serikali ina utaratibu wake kwa hiyo tutaajiriwa tu MUNGU hupenda haki haiwezekani miaka 20 ya kusoma iteketee kama moshi He may act the miracles to us
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom