Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,380
- 15,894
IGIZO
Angalia mchezo wa kuigiza
Kwenye huu wa kuigiza tumeona ambavyo mwanafunzi ambaye hakufanya vizuri kwenye masomo yake na kuhitaji msaada Zaidi kimasomo lakini mwalimu wake anatumia nafasi hiyo kumnyanyasa kingono
Mazingira kama haya yanawapata wanawake wengi kwenye maeneo ya Vyuo na wanakosa wa kuwasaidia.
Kama wewe ni mmoja wa waathirika wa unyanyasaji wa Kingono au unamfahamu yeyote anayenyanyaswa kingono, toa taarifa kwa kupitia namba 0800110017 au 0800751010