Kilichofanywa leo na Askofu Kakobe kanisani kwa Gwajima kinafanana na kisa hiki kilichotokea Lindi 2013

Mp19

JF-Expert Member
May 3, 2019
259
715
Kweli mkubwa dawa.

Mkubwa anakuwa dawa kwakuwa ameona na kusikia mambo mengi, kwayo huweza kutumika kama dawa kwa tatizo la mtu mwingine.

Kisa hiki kilitokea Lindi , Nachingwea 2013 ambapo Mch. mmoja wa FULL GOSPEL FELLOWSHIP alimwambia mkewe kuwa atakuwa na maombi ya mkesha wiki mzima peke yake huku mama mmoja muumini wake akamwambia mumewe kuwa wanamkesha kanisani mpaka SAA 6 wiki mzima. Mume wake hakuwa mlokole.

Sasa wakawa wanakutana wiki ile, walipofika siku ya 3 wakabambwa na mwenye mke.

Nguvu ya fedha ikatumika, mjamaa kapewa fedha usiku kwa usiku yakaisha ila watu kadhaa waliziona zile purukushani.
Wakatangaza kuwa pastor ameshikwa ugoni.

Lile tukio lilitokea mwanzoni mwa weekend, Jumapili pastor wa mtaa wa tatu akawa ndiye muhubiri katika mahubiri ya Jumapili na somo alilipa kichwa hiki " MASEMANGO, KUSINGIZIWA NI KAMA POVU LA SABUNI" somo hili lilikuwa na lengo la kumlinda pastor mwenyeji .

Kwa lililotokea huko kwa Gwajima Leo ambapo askofu Zakaria Kakobe kupanda madhabahuni na kuanza kupangua hoja za kumlinda askofu Gwajima nazidi kupatwa na shaka kuwa huenda Gwajima kahusika katika video maarufu Tz iliyotoka majuzi. May be kamwalika ili amsitiri.
 
Mmmh unawabisha maasikofu wawili na mkuu wa mkoa mmoja kweri wewe mbishi
 
Mimi alicho fanya kakobe naisubiria ili viza vifanane mkuu,mbona umeimezea?
 
Ulichoeleza kinaonekana kuwa udaku n huna taarifa za kutosha.Pia stori hain muunganiko.Jribu kueleza vizuri mkuu!huku sio fb au insta kwa wavivu wa kufikiri
 
Watu wenye heshima, na nyadhifa zao ktk jamii, kuhusishwa na kashifa kama hizi, ni aibu iliyoaibika, ilibidi mtu mzima aachie ngazi, lakini atamuachia nani, na hii ni Mali yake binafsi.
Atapiga wapi pesa
Ashazoea kupiga hela kwa tilalila

Ova
 
Kuna watu wananiambia hawajaelewa.
Sasa tatizo sijui ni uelewa mdogo au ni washirika wa Gwajima.
Umesema wasiyoyataka ,todays motto ni " "sikubali mashtaka ya mzee" kwa sauti ya kakobe!
 
Back
Top Bottom