Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aisee nimesikitishwa na habari ya TTCL kuhusu kuajiri vijana 200. Mimi binafsi katika hangaika zangu za kutafuta ajira niliweza kuandika business proposal yangu nzuri tu. cha ajabu sikuwahi hata...
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Tanzania na Msumbiji zimeanza utafiti wa kutumia dawa ya Ivermectin, ambayo imezoeleka kutibu ugonjwa wa mabusha na matende, kwa ajili ya kupambana na maralia, kupitia mradi uitwao Bohemia ambao...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naibu Katibu Mkuu Afya, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Dkt. Dorothy Gwajima, amewaondoa katika uongozi wajumbe wanane wa timu ya uendeshaji na usimamizi wa huduma za afya...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kiukweli dunia imekwisha yaani nimachokiona siamini kabisa angalieni hiyo vidio mtasema wenyewe
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Yapata wiki sasa kuna namba inanisumbua sasa kunitumia meseji kwamba, UNADAIWA DENI LA M PAWA hivyo wakati wowote utakamatwa au lipa deni hilo haraka sana. Lakini namba hiyo nikipiga haipokelewi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limepewa saa kadhaa leo asubuhi Jumatatu Mei 20, 2019 kuziachia pikipiki zote walizozikamata na ikifika jioni bila agizo hilo kutekelezwa, watakumbana na mkono wa...
3 Reactions
25 Replies
6K Views
FAHAMU MITO INAYOBEBA KIASI KIKUBWA CHA PLASTIKI KUPELEKA BAHARINI 1. Chang Jiang (Yangtze River) 1,469,481 tons 2. Indus 164,332 tons 3. Huang He (Yellow River) 124,249 tons 4. Hai He 91,858...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Nilikuwa sijamuona mkuu kwa muda sasa ila leo nimebahatika kumuona kwenye shughuli za kupokea gawio la kampuni ya mawasiliano TTCL. Yani mkuu amekuwa flat kabisa, utashangaa kapuku kama litumbo...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Ni Matumaini yangu kuwa mko salama na mnaendelea na majukumu yenu ya kila siku katika kuhakikisha kuwa tunajijenga binafsi pamoja na nchi yetu kwa ujumla. Katika maisha haya...
2 Reactions
2 Replies
773 Views
Jamani nipo hapa maeneo ya kwimba kwenye mapokezi ya mbio za mwenge kitaifa. Mwenge unakuja unapita sekondari moja ya kata. Sasa shida ni kwamba wanafunzi wote wa primary kutoka shule zote za kata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mkaazi mmoja Wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara amejipata katika matatizo baada ya nyeti zake kupotea akiwa kituo cha polisi Shuhuda Wa tukio aliiambia redio Bunda FM kuwa mtuhumiwa alifikishwa...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Mi hata sielewi.. Ukiamua uuze biashara yako kihalali ikiwemo kulipa kodi na mengineyo unaishi kuumia lakini wale wenzio wanaokwepa kodi wanawin Ukiamua kutafuta pesa kihalali inachukua muda...
11 Reactions
47 Replies
5K Views
Taasisi ya HakiElimu yatwaa tuzo ya jumla ya Asasi za Kiraia barani Afrika kwa kuwa mstari wa mbele kupigania ustawi wa elimu Tuzo hiyo inajulikana kama The African Civil Society Excellence...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Sasa ni dhahiri kuwa mbwembwe na majigambo ya kununua korosho yameshindwa vibaya kama ni katika ndondi basi hi ni KO. Yawezekana ni laana na dua za Mh. Majaliwa zimejibiwa maana alitumia mufa wake...
0 Reactions
3 Replies
741 Views
Wadau, Kama inavyosomeka hapo juu..kwa muda mrefu natamani kuwa na Bendera yangu ya utambulisho,asubuhi naipandisha nyumbani kwangu kwenye mlingoti mdogo sio mrefu kama wa ile ya Taifa..pia nakuwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna hizi pkpk wanasema wamepasua eksozi. Ikipita hapo kelele zake hazivumiliki kabisa, noise pollution ya kufa mtu. Sheria za barabarani zinasemaje kuhusu hii ishu?
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hili ni jambo la kijamii la kimaadili zaidi kuliko kimtazamo... Uhalisia wake ukijikita kwenye mikanganyiko ya jinsia, imani, maadili, heshima, hekima, ustawi wa familia nknk Ni jambo lenye...
12 Reactions
100 Replies
10K Views
Dunia hii bhana unaweza kuta unamiliki simu au gari sasa kuna wakati unakuta inakusumbua maybe kwa kuharibika Mara kwa mara unaamua bora uuze kwa bei ya hasara tu uongeze hela ununue nyingine ili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernad Membe, leo ametinga Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, kusikiliza kesi yake ya madai fidia ya Sh. Bilioni 10 dhidi ya Cyprian Musiba iliyopangwa...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Dar -Iringa Ordinary Bus Tsh18300, Semi Luxury Bus Tsh26300, Luxury Bus Tsh28900. Dar -Mtwara Ordinary Bus Tsh21500, Semi Luxury Bus Tsh29700, Luxury Bus Tsh32600. Dar -Arusha Ordinary...
15 Reactions
144 Replies
103K Views
Back
Top Bottom