Mada maalum: Kuelekea tarehe 01/06/2019 | Nini mbadala wa mifuko ya plastiki?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
5,396
2,000
Habari JF.

Kama mjuavyo tarehe 01/06/19 ndiyo mwisho wa matumizi ya mifuko ya plastiki humu nchini.

Je ni upi mbadala wa mifuko hii ili kutoleta adha kwa wafanyabiashara na wateja ktk maeneo mbalimbali?
Je serikali yetu tukufu na sikivu imejipanga vipi kutatua changamoto zitokanazo na marufuku hii?

Karibuni.
 
Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
16,873
2,000
Habari JF.

Kama mjuavyo tarehe 01/06/19 ndiyo mwisho wa matumizi ya mifuko ya plastiki humu nchini.

Je ni upi mbadala wa mifuko hii ili kutoleta adha kwa wafanyabiashara na wateja ktk maeneo mbalimbali?
Je serikali yetu tukufu na sikivu imejipanga vipi kutatua changamoto zitokanazo na marufuku hii?

Karibuni.
Hivi zao la katani haliwezi.zalisha mifuko mbadala kweli?
 
KWEZISHO

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
7,525
2,000
Hivi zao la katani haliwezi.zalisha mifuko mbadala kweli?
Ni kweli katani, kama wazalishaji wa katani wanaweza kuliona hilo ombwe basi hii itakuwa fursa nzuri kwao kwa sababu ni moja kati ya vifungashio vizuri kwa bidhaa kavu. Kwa upande wa bidhaa zenye asili ya majimaji kutakuwa na mtihani kidogo lakini binaadamu haishiwi fikra kila tatizo lazima ufumbuzi utafutwe.
ANGALIZO: Ifikapo hiyo siku usije shangaa kiongozi mkuu akabatilisha hilo jambo
 
koboG

JF-Expert Member
Apr 3, 2016
1,515
2,000
IMG-20190428-WA0013.jpg
 
Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
5,396
2,000
Ni kweli katani, kama wazalishaji wa katani wanaweza kuliona hilo ombwe basi hii itakuwa fursa nzuri kwao kwa sababu ni moja kati ya vifungashio vizuri kwa bidhaa kavu. Kwa upande wa bidhaa zenye asili ya majimaji kutakuwa na mtihani kidogo lakini binaadamu haishiwi fikra kila tatizo lazima ufumbuzi utafutwe.
ANGALIZO: Ifikapo hiyo siku usije shangaa kiongozi mkuu akabatilisha hilo jambo
Naona hizo dalili
 
mputa

JF-Expert Member
Jun 11, 2012
1,177
2,000
Kwa uzoefu wangu wa Tanzania hiyo mifuko itaendelea tu kutumika hadi mwaka ujao hii nchi kila kitu utekelezaji wake ni changamoto
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,773
2,000
Sasa wanazuia mifuko ya plastic, ilihali kuna bidhaa nyingi ambazo vifungashio vyake ni plasric, swali ni je, zikishatumika kwani hazitaacha plastic kibao zikizagaa mtaani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom