Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,370
- 14,522
Nipo hapa nasikia wimbo wako wa Rita ukipigwa, ghafla ninakukumbuka. Lakini ni siku nyingi hausikiki katika Tasnia hii ya Sanaa ya Muziki.
Uko wapi brother? Unafanya mishe gani huko?
Uko wapi brother? Unafanya mishe gani huko?