Josephat Sanga
Senior Member
- Aug 29, 2016
- 151
- 98
Tarifa zinasema mwalimu simwaba amafariki tarehe 27/04/2019 uko jijini mbeya
Hakika tutamkumbuka kwa umahiri wake katika somo la kingereza, wanafunzi tuliopata kufundishwa naye tutamkumbuka kwa mengi katika somo la kingereza
Nenda simwaba nenda mwalimu siyo sisi tu hata taifa limekupoteza mwalimu mahili uliyeipenda kazi yako
R.I.P SIMWABA