Ttcl chukuweni jukumu la Internet nchini

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,557
Haya makampuni mengine yabaki kutuuzia vocha na mihamala ya pesa to. Maana wamezidi kutunyonya katika mabando
Katika ulimwengu huu wa digital huduma Za internet zinapaswa kupatikana kwa gharama nafuu na uhakika na speed ya kutosha
Kwa wenzetu walioendelea huduma hii si anasa kama inavyochukuliwa hapa Tanzania
Mfano Malaysia wamepiga hatua kubwa sana kimaendeleo kule pana mji wa viwanda,huko mji mzima ni internet free zone... Ukifungua computer yako au mobile phone unapata huduma hii bure.
Kuna kipindi kulikua na majaribio ya kutoa masaa matatu kila ya internet bure pale mji mkuu Kuala Lumpur na kwa baadae kulikua na mpango wa kuufanya mji wote uwe Wi-Fi free sijui wamefikia wapi
Hapa kwetu makampuni ya mawasiliano yamejisahau na kuichukulia huduma ya internet kama anasa
Njia moja tuiombe serikali kupitia kampuni ya simu Ttcl ichukue jukumu la kuwa mdau pekee wa huduma hii na iwekwe rates za chini kabisa ili huduma ya internet isaidie katika huduma za maendeleo na elimu
Huduma hii ikiachwa hivi haya makampuni wataendelea na unyanyasaji huu wa kila mara kutupuguzia Mbs kwa gharama kubwa
Huwa nashangaa makampuni ya nje yaneemeke halafu ttcl wenye minara wanakuwa wa mwisho!
Amkeni Ttcl tunanyonywa
 
Sasa simu tu kupiga hadi ukae juu ya paa, tunaotumia intaneti unataka tupae kabisa au
 
wazo lako ni zuri ila kwa nchi yetu ilipofikia wanatamani wazime kabisa Internet watu wakose habari ata mitandaoni..apa tusubili kupandishiwa galama ili watumie watu wachache...
 
Ya tanesco hayajakuchosha? Unataka mengine tena sio
Haya makampuni mengine yabaki kutuuzia vocha na mihamala ya pesa to. Maana wamezidi kutunyonya katika mabando
Katika ulimwengu huu wa digital huduma Za internet zinapaswa kupatikana kwa gharama nafuu na uhakika na speed ya kutosha
Kwa wenzetu walioendelea huduma hii si anasa kama inavyochukuliwa hapa Tanzania
Mfano Malaysia wamepiga hatua kubwa sana kimaendeleo kule pana mji wa viwanda,huko mji mzima ni internet free zone... Ukifungua computer yako au mobile phone unapata huduma hii bure.
Kuna kipindi kulikua na majaribio ya kutoa masaa matatu kila ya internet bure pale mji mkuu Kuala Lumpur na kwa baadae kulikua na mpango wa kuufanya mji wote uwe Wi-Fi free sijui wamefikia wapi
Hapa kwetu makampuni ya mawasiliano yamejisahau na kuichukulia huduma ya internet kama anasa
Njia moja tuiombe serikali kupitia kampuni ya simu Ttcl ichukue jukumu la kuwa mdau pekee wa huduma hii na iwekwe rates za chini kabisa ili huduma ya internet isaidie katika huduma za maendeleo na elimu
Huduma hii ikiachwa hivi haya makampuni wataendelea na unyanyasaji huu wa kila mara kutupuguzia Mbs kwa gharama kubwa
Huwa nashangaa makampuni ya nje yaneemeke halafu ttcl wenye minara wanakuwa wa mwisho!
Amkeni Ttcl tunanyonywa
 
Sasa simu tu kupiga hadi ukae juu ya paa, tunaotumia intaneti unataka tupae kabisa au
Basi waruhusu makampuni mengine ya nje yafanye shughuli ya internet tena ikibidi via satellite tuone hawa wazee wetu wa mabando watashusha tu gharama
 
Wazo lako ni jema sana mkuu.

Tatizo umetoa hoja kama tupo mwaka 2014!

Hakuna habari isiyopendwa kujadiliwa sasahivi na raia kama hiyo kampuni ya umma ya Ttcl inachukiza kuielezea.

Tangu kampuni binafsi za mawasiliano zianze kutoa huduma nchini, Ttcl imekua ikisuasua sana kwa malengo ovu.

Kampuni hiyo imehujumiwa sana na menejimenti yake yenyewe!

Ikajifunga katika brackets za ushindani ikajiweka kisiwani kwa kuingiza simu za mfumo wa mtandao mmoja zisizokuwa na ushindani.

Haya yalikuwa ni makusudi ya kuidhoofisha kampuni ili iweze kuachia soko kwa makampuni binafsi.

Hali hiyo ya hujuma inaendelezwa makusudi hadi leo.

Tunakaririshwa kwa maigizo ya kubadilisha menejimenti, sijui nyumbani kumenoga nk nk, lakini hakuna tija ya mawasiliano ambayo raia wa kawaida ananufaika nayo.

Ttcl bado ni genge la upigaji tu na hiyo wanayoiita 'divident' kwa serikali, sidhani kama inatokana na faida kweli!

Nadhani kwamba makampuni binafsi 'yanajichanga' na kumpatia Ttcl cha kutoa serikalini ili aendelee kufumbia macho uozo.

Ujengaji wa minara na upanuzi wa masafa ya mawasiliano ndiyo msingi wa awali wa kampuni yoyote ya mawasiliano.

Lakini kwa Ttcl wanajifanya kutolielewa jambo hilo kwa makusudi.

Ni wapi unaweza kupiga simu za Ttcl na kuangalia internet bila kikwazo?
Ttcl bado ni jipu linatoihadaa serikali kwa njia ya gawio.
 
Haya makampuni mengine yabaki kutuuzia vocha na mihamala ya pesa to. Maana wamezidi kutunyonya katika mabando
Katika ulimwengu huu wa digital huduma Za internet zinapaswa kupatikana kwa gharama nafuu na uhakika na speed ya kutosha
Kwa wenzetu walioendelea huduma hii si anasa kama inavyochukuliwa hapa Tanzania
Mfano Malaysia wamepiga hatua kubwa sana kimaendeleo kule pana mji wa viwanda,huko mji mzima ni internet free zone... Ukifungua computer yako au mobile phone unapata huduma hii bure.
Kuna kipindi kulikua na majaribio ya kutoa masaa matatu kila ya internet bure pale mji mkuu Kuala Lumpur na kwa baadae kulikua na mpango wa kuufanya mji wote uwe Wi-Fi free sijui wamefikia wapi
Hapa kwetu makampuni ya mawasiliano yamejisahau na kuichukulia huduma ya internet kama anasa
Njia moja tuiombe serikali kupitia kampuni ya simu Ttcl ichukue jukumu la kuwa mdau pekee wa huduma hii na iwekwe rates za chini kabisa ili huduma ya internet isaidie katika huduma za maendeleo na elimu
Huduma hii ikiachwa hivi haya makampuni wataendelea na unyanyasaji huu wa kila mara kutupuguzia Mbs kwa gharama kubwa
Huwa nashangaa makampuni ya nje yaneemeke halafu ttcl wenye minara wanakuwa wa mwisho!
Amkeni Ttcl tunanyonywa

Unataka kukosa kabisa huduma?
 
Back
Top Bottom