kalooo 25594
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 303
- 195
Wakuu nawaza bado sielewi,nimesoma diploma in water technology siyo rafiki na moyo wangu yaani haiko kwenye haiba yangu ila nilifanya HVO ili nipate sponsors kwa ngazi ya stashada Sasa Niko kazini nataka nichukue faculties kama bachelor of laws ,public relations,political science tena hasa napenda sheria ninao uwezo wa kujisomesha kwa kidogo nilicho nacho naomba msaada kwa MTU ambaye kashawahi kusoma degree tofauti na mfanano wa courses za diploma anisaidie au yoyote mwenye ufahamu na hili anijuze.