Mtazamo wangu kuhusu viini vya majiji ya tz

Bouja

Senior Member
Mar 19, 2019
173
127
Habari wakuu
Huuu n mtazamo wangu kuhusu majiji yote yaliyopo Tanzania
1.DAR ES SALAAM
Hili n jiji kubwa kutokana na kua lango kuu la nchi toka miaka hiyoo uwepo Wa bandali ya mzizima na shughuli nyingi za serikali kufanywa hapo ndio imepelekea jiji hili kukua kuliko mengine
2.ARUSHA
Jiji la arusha naweza kusema in jiji lililo jilea kutokana na ewepo Wa natural resources nying kama madin na hifadhi za taifa hivyo kuvutia wawekezaj weng na pia serikali kuboresha miundo mbinu ili kurahisisha shughuli za uchimbaj madini na utarii zinazoingizia serikali fedha nying
3.MWANZA
Jiji la mwanza ndilo lapili kwa ukubwa Tanzania kutokana na kua lango kuu la biashara za ziwa Victoria hivyo kufany kua tegemeo kwa mikoa ya kanda hiyo hivyo kufanya kua na ewekezaji mkubwa
3.DODOMA
Jiji hili n sawa na mtoto Wa mama kwani kwa asilimia kubwa linategemea serikali katika ukuaji wake hivyo halina ki2 kikubwa kinacho lifanya liendelee
4.MBEYA
Hili no jiji ambalo kwakipindi kirefu serikali ililitenga kutokana na wakaz wake kuonekana no jeuri na wenye nsimamo ndo maana hata mh rais alipo litembelea alisema kua mbeya imebadilika hakutegemea kupokewa vile hivyo jiji hili kwa asilimia kubwa limejengwa kwa nguvu za wakulima(lilikua kama mtoto yatima limejirea) hivyo hata lilipo fika lapaswa kupongezwa
TANGA
Hili in jiji ambalo cjajua sababu has a yakua jiji ila nadhani kufufuliwa kwa bandari ya tanga kutaongeza ukuaji wake kwa kasi

I stand to be corrected
 
Mji wowote wenye Bandari ya Bahari,ujuwe tayari,umeshajiunganisha na dunia nzima.Na ikifuatiwa na kuwa na bandari,ndio kabisa,hata kama mji huo hautaitwa jiji,lakini kwa vile lina bandari imbayo imeunganisha na majiji mengine,tayari yenyewe litakuwa jiji.
 
Back
Top Bottom