Kuna tofauti gani kati ya Mtu anayeweka maudhui ya video Facebook na Youtube? napendekeza Rais akutane na wanaIT, Bloggers, na Online money makers.

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Hapo serikali inabidi iangalie vizuri.

Kama shida ni content kuwa hazina maadili au za kichochezi sheria ielekezwe huko.

Kama shida ni kusaka mapato. Iangalie youtube mapato yanapatikanaje ili iwekwe parameter stahiki ya mapato.

Sitashangaa na wachungaji wanaotangaza maneno mema kwa ajili ya kuifanya jamii iwe adilifu kuwaona Kisutu kisa hawakuwa na leseni kurusha maudhuhi mema youtube.

nadhani kuna haja ya kuangalia tunataka nini na hatutaki nini Youtube.

Baada ya kusikia watu wanaenda mahakamani kwa kosa la kuweka content youtube bila kibali, nimetoka nduki kudelete permanet content za kanisa flani niliombwa niwasaidie kuwawekea habari zao mitandaoni ikiwepo na youtube.
 
Pole sana. Fuata taratibu na sheria
mkuu hizo nazifuata. Kuna blog niliifuta kipindi kilekile wakati zinapitishwa sheria hizo. Ila sikujua kama kuupload chochote Youtube ni kosa kisheria. Nilidhani wale wenye kama TV flani youtube tu.
 
Content zinazohusu masuala ya Imani, Elimu, Kilimo, Ufugaji, etc hazina tatizo mjoli, ila ukigusa masuala yanayohusu habari za kijamii, siasa, utamaduni, michezo etc, kwa kiasi ni zile habari zinazohitaji kuhoji pande mbili (balancing story) hizo ni mantanange.

NB. Onana na ofisi ya TCRA kanda yoyote watakupa mchanganuo yakinifu.
 
Mjoli umetoa Tumaini ila sheria inayoyapa matumaini haya maelezo ikiambatanishwa itakuwa safi zaidi. Nadhani ni vizuri hayo mafafanuzi yawe public kwa maandishi sio hadi wafuatwe. Unaweza kuambulia personal opinions . mkuu naomba kama kuna kadoc legal kubackup maoni mazuri Ila nitawafuata hapo mawasiliano nisipopata uhakika.
 
Baadaye leo nitakuwekea hapa baadhi from hardcopy screen short.
 
Ubarikiwe in advance
👇
IMG_20190614_125904.jpg
IMG_20190614_125826.jpg
 
Back
Top Bottom