Njia gani unaitumia kati ya hizi kumdai mdeni wako

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Ukiwa mfanyabiashara kumkopesha mteja wako wa mda mrefu sio jambo geni, tatzo ni pale anapoanza kupata tamaa, na yawezekana kbsa wakati mnakabidhiana hakua na nia mbaya kbsa ila taratib anaanza kupata vishawishi na tamaaa,
Hapa naandika haya nishatia marafiki wawili ndani,
Mmoja kala biti kalipa deni, Mwingne kanipigia twende kituoni tukakabidhianee, bado wawilii hawa nawataftia njia ya kuwadai.

Wabongo wenyewe kwa wenyewe tunaangushana sanaaaa,
Unafanya biashara na mtu kwa mda mrefu inafika hatua unaanza kumwamini, unamtumia mzigo ndio anakutumia pesa zaidi ya mara 20, maana ni mteja wako, kumbe lengo lake azidi kujenga uaminifu ili siku akupige mzigo mkubwaa,

Hebu tujuzane ni njia gani ww unaitumia kumdai mdeni wako..
1. Vitisho mfn : nitakachokufanya hutaamini?
2. Lugha ya upolee, Dini, imani?
3. Vitendo - mfn kupiga, kwenda polisi, kuchukua mali yake au maamuzi yyt yale dhidi yake?
4.lugha Kali,
5. Kumchafulia kwa ndugu na marafiki?
6. Kukaa kimyaa? N.k n.k.

Nasema hivi maana tunatofautiana sanaa , mwingne ukimpiga biti ndio kbsaaa haogopi
Mwingne ukiongea nae kipole anatafakari mwishowe mnamalizana, mwingne ukikaa kimya nae anakaa kimya,
Mwingne anaogopa kuchafuliwa na kuonekana msanii hivyo ukimtishia/ukimharibia kwa ndugu na marafk anakua mpole, mwingne ukimfanyia ubabe nae anarespond kibabaee : tunayo mifano mingi ya mtu kujeruhiwa au kuuwawa akiwa anadai mali yake, mwingne ukimgusia masuala tu ya dini km anaimani basi ananyweaa.

Mfn Mm kati ya hawa jamaa wawili walionilipa Huyu mmoja nilitumia kila njia zikafell, week iliyopita km kiutani nikamwandikia 'lakini ndugu yangu wewe si upo kwenye mfungo wa sita, huyo Mungu unayemfungia ni yupii?' Sikuamin ndani ya dk 13 muamala huooo,

Hebu tupeane njia za kudai kilichochakoo.
 
Mie niliamua kujitoa ufahamu.nilitafuta Inapouzwa bangi nikachukua puli moja nikabeba lizra(karatasi ya kusokotea) na sime.
Nilipofika kwake nikasokota huku nikiweka manuizo Leo ni Leo mwenye deni lazima anilipe huku nikilinoa panga langu .kumbe mkewe akaona Leo panachimbika hapa akaingia ndani akamwambia mmewe jamaa yako yupo nje anavuta bangi na ananoa panga Fanya ukamlipe asije kukutoa roho yako bure.
Mara namuona jamaa kafika na mshiko wote eti braza samahani kukucheleweshea.nikasunda mfukoni ngawira zangu na kusepa.
 
kuna huyu bwana nafkir yeye ndo hatar zaid..ye anakukopesha kiasi chochote bila ata kuandikishana....ukicheleweshaa anatafta mazingira mnakua wawili hafu anaongea uku anasafisha bastola,,mara apige risasi chini,,af anakwambia jitahidi bwana,,"maana madeni huwa yanaleta ugomvi"..kwakweli yule bwana upole wake na matendo yake wakati wa kudai hata hayaendani
 
Nilishawahi kumtia kashkash na jambajamba za kufa mtu mjinga mmoja hivi baada ya kutulia na pesa yangu kwa zaidi ya miaka miwili wakati makubaliano yalikuwa atanirudishia kabla ya kumalizika kwa wiki mbili, sitaki kuikumbuka hiyo siku na nilidhani baada ya hapo na urafiki utaisha lakini nikashangaa baada ya siku tatu akaniita baa tukapiga sana tungi na kitimoto kwa bili mjinga yule
 
Hebu tujuzane ni njia gani ww unaitumia kumdai mdeni wako..
1. Vitisho mfn : nitakachokufanya hutaamini?
2. Lugha ya upolee, Dini, imani?
3. Vitendo - mfn kupiga, kwenda polisi, kuchukua mali yake au maamuzi yyt yale dhidi yake?
4.lugha Kali,
5. Kumchafulia kwa ndugu na marafiki?
6. Kukaa kimyaa? N.k n.k.

2@@
 
kuna huyu bwana nafkir yeye ndo hatar zaid..ye anakukopesha kiasi chochote bila ata kuandikishana....ukicheleweshaa anatafta mazingira mnakua wawili hafu anaongea uku anasafisha bastola,,mara apige risasi chini,,af anakwambia jitahidi bwana,,"maana madeni huwa yanaleta ugomvi"..kwakweli yule bwana upole wake na matendo yake wakati wa kudai hata hayaendani
hahaaaaaaaaaaaaaaa ,
hiii nimeipendaa, sasa hapo jichanganye ulewe na upole wa kinywaaa.
 
Mimi pia Mkuu. Hivi karibuni nilimkopa mtu pesa ndefu sana akidai wiki tu atarudisha, nikamuamini. Basi vikaanza visingizio wiki ilipokatika. Mie kimya nikaacha ajisemeshe mwenyewe tu kwenye simu au tukionana na mimi wala sikutaka majadiliano. Kila alivyonieleza jibu langu lilikuwa ni “ok sawa” basi mpaka kuja kurudisha ni wiki sita. Nilikuwa siihitaji pesa ile zaidi ya kuiweka bank lakini next time akiomba mkopo itabidi nifikirie mara tatu tatu.

Sijawahi pata hadha ya kudai mtu kwa mikiki mikiki...

Ngoja aje...

Cc: mahondaw
 
Ukiwa mfanyabiashara kumkopesha mteja wako wa mda mrefu sio jambo geni, tatzo ni pale anapoanza kupata tamaa, na yawezekana kbsa wakati mnakabidhiana hakua na nia mbaya kbsa ila taratib anaanza kupata vishawishi na tamaaa,
Hapa naandika haya nishatia marafiki wawili ndani,
Mmoja kala biti kalipa deni, Mwingne kanipigia twende kituoni tukakabidhianee, bado wawilii hawa nawataftia njia ya kuwadai.

Wabongo wenyewe kwa wenyewe tunaangushana sanaaaa,
Unafanya biashara na mtu kwa mda mrefu inafika hatua unaanza kumwamini, unamtumia mzigo ndio anakutumia pesa zaidi ya mara 20, maana ni mteja wako, kumbe lengo lake azidi kujenga uaminifu ili siku akupige mzigo mkubwaa,

Hebu tujuzane ni njia gani ww unaitumia kumdai mdeni wako..
1. Vitisho mfn : nitakachokufanya hutaamini?
2. Lugha ya upolee, Dini, imani?
3. Vitendo - mfn kupiga, kwenda polisi, kuchukua mali yake au maamuzi yyt yale dhidi yake?
4.lugha Kali,
5. Kumchafulia kwa ndugu na marafiki?
6. Kukaa kimyaa? N.k n.k.

Nasema hivi maana tunatofautiana sanaa , mwingne ukimpiga biti ndio kbsaaa haogopi
Mwingne ukiongea nae kipole anatafakari mwishowe mnamalizana, mwingne ukikaa kimya nae anakaa kimya,
Mwingne anaogopa kuchafuliwa na kuonekana msanii hivyo ukimtishia/ukimharibia kwa ndugu na marafk anakua mpole, mwingne ukimfanyia ubabe nae anarespond kibabaee : tunayo mifano mingi ya mtu kujeruhiwa au kuuwawa akiwa anadai mali yake, mwingne ukimgusia masuala tu ya dini km anaimani basi ananyweaa.

Mfn Mm kati ya hawa jamaa wawili walionilipa Huyu mmoja nilitumia kila njia zikafell, week iliyopita km kiutani nikamwandikia 'lakini ndugu yangu wewe si upo kwenye mfungo wa sita, huyo Mungu unayemfungia ni yupii?' Sikuamin ndani ya dk 13 muamala huooo,

Hebu tupeane njia za kudai kilichochakoo.
nakushauri uchukue no 6 itakusaidia sana
 
Back
Top Bottom