Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Utafiti uliofanywa na shirika la I4ID pamoja na KIVULINI limegundua ongezeko kubwa sana la wamachinga katika jiji la Mwanza. Utafiti huo umebaini kua wamachinga wakukaa sehemu moja wamekua wengi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi? Hakuna kitu kinachokera kama huu mtindo wa viongozi wa Serikali wakiwa kwenye misafaea yao. Yaani wanaona sisi tuliowapa dhamana kama magendayeka tu. Fikiria mnasimamishwa...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Benki ya NMB Plc. (NMB), kulipa gawio la Shilingi 66 kwa kila Hisa. Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha kiasi kilichopendekezwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM), uliofanyika mwishoni mwa...
2 Reactions
2 Replies
929 Views
habari wana jf wote naomba kuleta mada hii' . kama ambulance ikiwa inawaisha mgonjwa mahututi hospital , katika kuelekea hospital ikakautana na msafara wa kiongozi mkubwa wa kiserikali , akiwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Aman iwe juu yenu wakuu Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu Mimi Nina swali nimekuwa nikiona siku hizi wasichana wadogo sana miaka kuanzia 18-25 wakiwa wanaolewa na wazee wa miaka kama...
4 Reactions
93 Replies
21K Views
Tunasema na kutenda, au tunasema na kusema!
1 Reactions
3 Replies
861 Views
Kuna kitu huwa kinanishangaza sana nikipitaga Instagram. Kuna watu utakuta wamemfollow mtu/msanii, kuonyesha kuwa wanataka kupata habari juu ya msanii au mtu yule. Hii ni kuonyesha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Kama una ndugu yako unamdai msamehe, kama Kuna mtu unamemshtaki nenda kafute kesi mahakamani.. Mwenyenacho afanye hima ampe rafiki yake /jirani yake, Watoto waheshimuni wazazi wenu, kama Kuna mtu...
12 Reactions
37 Replies
6K Views
Nilikuwa naangalia news debris za Boeing iliyopata ajali Indonesia nakuua abiria wengi inasikitisha. Boeing wanabidi wa recall ndege hizi 737 max 8. Ni human error ama technical error? Ajali...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
GRTG
2 Reactions
21 Replies
2K Views
wakuu hivi huu utaratibu wa kumwagiana maji siku ya kuzaliwa ulianzishwa kwa manufaa gani? mbona kama wahuni wanazidisha manjonjo? Binafsi sijaruhusu utaratibu huu kwenye siku yangu ya kuzaliwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Nakumbuka mwaka jana Mkuu wa Majeshi Jen. Mabeyo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania kwa nyakati tofauti, wao wenyewe au wasemaji wao walikemea tabia ya wananchi bila kujali ni nani na yuko wapi...
4 Reactions
61 Replies
9K Views
Shirika la maswala ya kazi limekadiria watu patao millioni 2.3 wanakufa na ajali ama magonjwa yanayotokana na kazi. Lakini kwetu wa Afrika imekuwa tofauti kidogo, ajali nyingi zinazotekea katika...
0 Reactions
4 Replies
889 Views
Yaani ubora ni hafifu sana tena sana kwa nini? Mnakwama wapi? Achana na dstv hata king’amuzi vya kenya tu vinawashinda ubora? Mnatuangusha sasa tutawahama
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakati wana tuhamasisha tujiunge katika hi scheme walitupa maneno mazuri sana na kitu kibwa walichokuwa wanatuambia ni kuwa siku yoyote utakapo amua kuchukua pesa zako utapewa bila ya usumbufu...
0 Reactions
1 Replies
916 Views
TULIOWAHI KUNYANYASWA NA ASKARI POLISI TUKUTANE HAPA. Habari wanaJF. Kama kichwa cha habari kinnavyoelekeza embu tuhadithiane manyanyaso ambayo hawa jamaa wamewahi kutusababishia. BINAFSI NINA...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Prof. Kabudi alipigania sana mawaziri wasitokane na wabunge. Rasimu haikutekelezwa lakini Rais ametekeleza kilio chake. Prof Kabudi si mbunge wa kuchaguliwa. Ameteuliwa. Jimbo lake ni aliyemteuwa...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Sasa nipo na amani, bando langu LA WK hadi linabaki,matangazo ya wajinga wa kule nimeyasahau sasa Twitter & JF kunawatu wenye akili wengi hakuna video za kishenzi najiandaa kuitoa Facebook sasa
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hapo serikali inabidi iangalie vizuri. Kama shida ni content kuwa hazina maadili au za kichochezi sheria ielekezwe huko. Kama shida ni kusaka mapato. Iangalie youtube mapato yanapatikanaje ili...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Leo nimejaribu kufuatilia Instagram, Facebook, WhatsApp na Twitter asilimia kubwa ya Watanzania ni Yatima, nikiwa na maana kuwa Father's Day ya leo wengi ya wazazi wetu wame "REST IN PIECE". Hii...
0 Reactions
6 Replies
788 Views
Back
Top Bottom