Azam kuonesha Michuano ya AFCON kupitia chaneli mpya ya UTV

TAKE NOTE

Member
Joined
May 28, 2019
Posts
13
Reaction score
10
Baada ya maneno mengi kutoka kwa wateja wa king'amuzi cha AZAM Kutokana na ubovu wa huduma zao baada ya kuzimwa kwa channel za FTA siku ya tarehe 15 wamezindua channel mpya ya UTV no 108 ambayo itakidhi vigezo vya ndani kama FTA channel yao.

Channel hii itaonyesha taarifa ya habari kuanzia tarehe 17 mwezi wasita pia itakuwa na vipindi vya burudani na vipindi vingine katika kuendelea kuboresha vipindi vyao

Kikubwa zaidi ni channel hii italeta mubashara michuano ya AFCON ambayo inatazamiwa kuanza mwezi huu wasita. Haya ni muendelezo maboresho wa huduma zao
 
Kuna watu hawaelewi maaana ya Television ya Taifa manipa majukumu sio kabisa ,mtu alilaumu TBC kwa kuwa political biased nitamuelewa ,akilaumu kwa kutoonesha bunge live nitamuelewa lakini mpira?au burudani zingine mubashara siwezi kumuelewa kamwe!
 
TBC taasisi ya taifa inajiendesha kwa kodi zetu. Kwa nini wasioneshe ukizingatia timu yetu inacheza?
 
Baada ya maneno mengi kutoka kwa wateja wa king'amuzi cha AZAM Kutokana na ubovu wa huduma zao baada ya kuzimwa kwa channel za FTA siku ya tarehe 15 wamezindua channel mpya ya UTV no 108 ambayo itakidhi vigezo vya ndani kama FTA channel yao. Channel hii itaonyesha taarifa ya habari kuanzia tarehe 17 mwezi wasita pia itakuwa na vipindi vya burudani na vipindi vingine katika kuendelea kuboresha vipindi vyao
Kikubwa zaidi ni channel hii italeta mubashara michuano ya AFCON ambayo inatazamiwa kuanza mwezi huu wasita. Haya ni muendelezo maboresho wa huduma zao
Si naskia wameruhusiwa tayari kuonyesh local channel na kibali washapewa au wanataka kuipa promo hyo chanel yao
 
Azam Fanyeni Haraka Kurudisha Local Channels.
 
Si naskia wameruhusiwa tayari kuonyesh local channel na kibali washapewa au wanataka kuipa promo hyo chanel yao
wamerehusiwa ila wameambiwa wazitenge na huduma za vifurushi vyao kwahyo wao wamesema watachukua miezi 7 kujenga mitambo ya kurusha channel hizo lakini naamini hizi ni siasa za majukwaani kama wameleta hii UTV ambayo ina cover taarifa za habari na burudani hizo local channel zingine siyo miezi 7 itakuwa zaidi
 
Azam waksmilishe tu taratibu tuanze kusngalia local Chanels km vile ITV, Clouds, Star tv, etc
 
TBC ipo kisiasa zaidi ukifuatilia vipindi vyake yani mda wote ni vya kisiasa tu
Tena bora ingekuwa ya kisiasa tu, maana wangekuwa wanatangaza na siasa za upinzani za akina Chadema

Hii TBCCM kazi yao kubwa ni kumsifu tu Jiwe na kumeonyesha Live, hata kama anafanya "upuuzi" wake.......

Tuite tu kuwa ni full propaganda za CCM tu wanachoonyesha hao TBC!
 
wamerehusiwa ila wameambiwa wazitenge na huduma za vifurushi vyao kwahyo wao wamesema watachukua miezi 7 kujenga mitambo ya kurusha channel hizo lakini naamini hizi ni siasa za majukwaani kama wameleta hii UTV ambayo ina cover taarifa za habari na burudani hizo local channel zingine siyo miezi 7 itakuwa zaidi
Wahuni tu hao azam, why miezi 7?
Ni kutaka kujionyesha wao wanajua sana eti, kujenga mtambo, hii wanadanganya wananchi.

Serikali kaeni macho ni hiyo wanaita utv.
 
Baada ya maneno mengi kutoka kwa wateja wa king'amuzi cha AZAM Kutokana na ubovu wa huduma zao baada ya kuzimwa kwa channel za FTA siku ya tarehe 15 wamezindua channel mpya ya UTV no 108 ambayo itakidhi vigezo vya ndani kama FTA channel yao.

Channel hii itaonyesha taarifa ya habari kuanzia tarehe 17 mwezi wasita pia itakuwa na vipindi vya burudani na vipindi vingine katika kuendelea kuboresha vipindi vyao

Kikubwa zaidi ni channel hii italeta mubashara michuano ya AFCON ambayo inatazamiwa kuanza mwezi huu wasita. Haya ni muendelezo maboresho wa huduma zao
hiyo channel itakuwa inaonekana bure au mpaka kulipi?
 
mm n
Wahuni tu hao azam, why miezi 7?
Ni kutaka kujionyesha wao wanajua sana eti, kujenga mtambo, hii wanadanganya wananchi.

Serikali kaeni macho ni hiyo wanaita utv.
mm naamini ni wamekuwa wagumu tu ila pia tukubali kwenye hili serikali inahusika sielewi startimes wao wanavyo onyesha kama ni bure
 
Tena bora ingekuwa ya kisiasa tu, maana wangekuwa wanatangaza na siasa za upinzani za akina Chadema

Hii TBCCM kazi yao kubwa ni kumsifu tu Jiwe na kumeonyesha Live, hata kama anafanya "upuuzi" wake.......

Tuite tu kuwa ni full propaganda za CCM tu wanachoonyesha hao TBC!
yaani mm mwenyewe nashindwa kuelewa hata vipindi vyake havina ushawishi muda wote wanaonyesha vitu vya ajabu yani hadi SEND OFF??????
 
Back
Top Bottom