Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kuna hawa ndugu, rafiki au Jamaa, yaani wao asubuhi mpaka asubuhi wanatuma sms na kutaka kuchati karibia muda wote. Hivi hamna kazi za kufanya? Si mtafute vitu vya kufanya bila kusumbua wenzenu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wasalamu !! Nisipoteze muda ningie direct juu ya hii kampuni ya DstV hapa nchini mbali na madudu kibao wanayotufanyia wateja wao hili sasa ni la kitapeli. Nilinunua king'amuzi chao hivi vipya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu watanzania naomba kufahamu kama mamlaka zimeripoti visa vya dengue huko Morogoro hasa maeneo ya ndani ndani, Hivi naandika hapa kuna ndugu yangu alikuwa huko, juzi ameanza safari ya kuja...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba nijuzwe kwa habari ya mafunzo, kwa mlio pitia JKT, 1.Je ni LAZIMA mtu amalizeko miaka miweili, kama alivyo saini mktaba? 2. Na je kwa kipindi chote hizo ana kuwa bize tu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wanajamvi ni huku tu nliko mie au.!? Ni week sasa tangu ni process mkopo . Niliambiwa masaa 48 . Imekata week sasa. Ya nini kuwekana roho juu. Mnasema mtandao unasumbua.. Wiki nzima. Embu...
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Tumeshajadili kwa mapana sana habari za makafara athari zake na ubaya wake na kwamba ukishaanza hii habari huwezi kuacha utaanza na kafara dogo mpaka kubwa kabisa na mwishowe kila kitu huwa...
15 Reactions
39 Replies
13K Views
TAARIFA KWA UMMA KUZIMWA KWA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI WA RUVU JUU 17/06/2019 Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASA), inasikitika kuwatangazia wateja wake wanaopata maji kutoka...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani hapa ninapoishi kuna kelele za mlinzi anafanya usafi kwenye nyumba ambayo haikaliwi na mtu,Sijajua kama kesho wanahamia au La hasha. Kama ni wewe mwenye nyumba hii basi mpigie Mlinzi wako...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Tanzania ni nchi kubwa na tena tajiri sana.Ukisafiriri kutoka Mikumi kwenda Mlimba kupitia Kilombero na Ifakara utaona jinsi nchi hii ilivyobarikiwa na ukanda wenye uoto wa asili wa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakala wa Huduma za Misitu yaadhimisha wiki ya utumishi wa umma kwa kuwafundisha wananchi kuhusu ufugaji wa nyuki kibiashara na mafunzo mbalimbali.Pamoja na kusikiliza malalamiko yao
0 Reactions
2 Replies
782 Views
Naomba kutajiwa matatizo na hasara anazoweza kupata kiumbe ajulikanaye Kama binadamu pale anapokaidi kubaki kwenye mipaka yake anajua kitu flani haruhusiwi kugusa lakini yeye ana kitaka hiko hiko...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaani ndani ya lisaa limoja mnakata na kurudisha umeme mara kumi, mmechanganyikiwa???!! Mb*wa nyie!
3 Reactions
57 Replies
5K Views
Wana JF, Ukisikia mikwala ambayo TCRA iliyokuwa ikiitoa kwa mafundi simu wasio na veti vya taaluma pamoja na lesseni uwezi kuamini mdololo wa wanaojiunga na vyuo vilivyochaguliwa kutoa na...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
MAJESHI YA ULINZI Marufuku kuunda majeshi ya Ulinzi yasiyo majeshi ya ulinzi ya Umma Sheria ya 1984 Na.15 ib.49 (1) Ni marufuku kwa mtu yoyote au shirika lolote au kikundi chochote cha watu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mzuqa Mr President! Pole na majukumu. Kuna wimbi sana la mauaji. Watu ama wahalifu wanaua tu hovyo hovyo bila uwoga ama kujali. Kama huyu binti wa Kampala University. Kulikuwa na haja gani ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana jamvi! Kwa akili zangu nimewaza na kuwazua ila sijapata majibu ni kwa nini ndege za Kivita zinatembea kwa kasi mithili ya sauti 3times? Karibu mnijuze ni uchawi upi mzungu aka beberu...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
samahan waungwana naomba kujuzwa kitu iki kashwasa na shuwasa ni mamlaka moja yenye ofisi moja au ni ofisi mbili tofauti naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa na iki
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Haya ndio Mataifa yanayotajwa kuongoza Duniani kwa kuwa na amani zaidi katika mwaka 2019;‬ 10 Jamhuri ya Czech 9 Japan 8 Slovenia 7 Singapore 6 Canada 5 Denmark 4 Austria 3 Ureno 2 New Zealand 1...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jana kupitia simu yangu nilipata ujumbe kutoka Vodacom kuwa kutakuwa na mkutano wa Wanahisa tarehe 27/10/2017 na mojawapo ya ajenda ni pendekezo la gawio la kila hisa kuwa shs. 12.74. Sijaamini...
0 Reactions
44 Replies
21K Views
Naomba kufahamishwa Sasa hivi kila ofisi ya umma ukiingia kuomba huduma yoyote, kuombwa namba ya simu imekuwa kama ndiyo kigezo kikuu cha kukuhudumia! Tena simu yako isipopatikana na kazi yako...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Back
Top Bottom