Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu nimevuta kausafiri kangu na kwakua mimi sio mtu wakuvunja sheria nimeamua niwe na leseni kabisa ili hata nikukutana na trafiki au TRA niwe mtu huru, katika uliza uliza za kwanza nimeambiwa...
1 Reactions
0 Replies
849 Views
Habari za muda huu wakuu, Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu. Mtazamo wangu katika kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia utengenezaji na uingiaji wa condom mana silaha kubwa ya kahaba ni...
1 Reactions
60 Replies
5K Views
Young people: you gotta live within your means! Stop spending more than you earn trying to chase what you don’t have! Your motto should be: “live below your means but within your needs”. Only...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wadau wa elimu Inasemekana kuwa malengo ya serikali(TAMISEMI) Mwaka huu ni kuwa ufaulu darasa la saba uwe asilimia 82 na ufaulu darasa la nne uwe ni asilimia 100. Sikatai ni mipango mizuri...
2 Reactions
4 Replies
766 Views
Habarini wakuu. Kama nilivyoelezea hapo juu.niende mwenye hoja. Wiki iliyopita nilileta humu matatizo yangu ya kusumbuliwa na ugonjwa wa koo. Nilielezea kwa undani tatizo lilivyo na vipimo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Our student from allied health science has been attacked and stubbed near the behind gate and she has died on the way to hospital. May her soul rest in peace
6 Reactions
124 Replies
25K Views
Moja kwa moja kwenye Mada, Ningependa kukuomba Waziri wa Uchukuzi uwasaidie wananchi wanaoishi Dumila na Turiani kutokana na uzi wangu mmoja ambao nilidhani SUMATRA watakuwa waliufanyia kazi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama Usiku huu unapita njia ya Mandela kuelekea Buguruni kuna ajali imetokea Usiku huu hapa kati ya Lori na Costa za abiria tatu,hivyo gari zinapita njia moja na kurudi njia kuu baada ya Mabibo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wadau, mimi nimezuiliwa na hawa Facebook siwezi kutoa coment yoyote wanadai nimekiuka maudhui yao. Masaada wenu nifanyeje?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarfa zinazosambaa inasemekana vifaa vipo Ila kuna urasimu wa kuvigawa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana JF, Wakazi na Madereva wa Dar es Salaam kama heading ilivyoeleza hapo juu, ni yepi matumizi ya njia tano kwenye barabara ya kutokea Morocco mpaka victoria-Makumbusho. Magari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamii hii,leo nimegundua wizi unaofanyika na kampuni taja hapo juu inayojiusisha na kusafirisha mizigo nje ya nje Hawa jamaa ni matapeli kwenye mizani,unaweza kuwa na mzigo wa kilo 25...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa taulo za kike kwa lengo la taulo hizo kushuka bei ili wanawake wapate unafuu kwa kiasi fulani. Ila pamoja na msamaha huo wafanyabishara hawakushusha bei ya...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Hamjambo wadau. Naomba kuelimishwa kuhusu taasisi inayohusika na kuruhusu vitabu kama vile vya fasihi, n.k vitumike kufundishia mashuleni. Karibuni wanaJF.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kumekuwa na Tabia ya kuwasema vibaya watu wa kaskazini bila kujua Uchumi wa nchi inatokana na ufanyaji Kazi wa watu wa kaskazini kwa uweledi na Tija kubwa. Sasa kuna watu wameanza kusema...
4 Reactions
61 Replies
6K Views
Habari Kuna taarifa ya kusikitisha! Mmoja wa wahitimu wa udom 2017 amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa nyumba ya kulala wageni. Chanzo: Alitumia viagra vidonge vitatu (3). Kifo chake...
17 Reactions
304 Replies
59K Views
State set to challenge Mtikila in Dito`s case 2007-10-13 09:23:09 By Rosemary Mirondo The State intends to raise a preliminary objection against a petition recently lodged by Rev Christopher...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu nishazoea kupewa ukubwa wa viwanja haswa vinavyouzwa kwa hatua, mfano 20 kwa 30 sasa mfumo wa sasa ndio nakosa nao uhalisia kabisa Nilifika ofisi moja ya ardhi nikapatiwa kiwanja ambapo...
1 Reactions
68 Replies
41K Views
Baada ya Mark kuonyesha yuko serious na watumiaji wote wa unofficial watsap i.e gb,nimekula ban ya 48 hrs baada ya kuleta ubishi wa kure-register kwa mara ya 3 baada ya kifungo kuisha. Imebidi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Habar zenu wakubwa,,....katika pita pita zangu mitandaoni kuna sehem nimekuta wadai kwamba wanatoa mikopo,sasa kama mnavyojua jinsi tunavyojarbu kupambana na maisha na mi nikaona syo mbaya nijarbu...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom