Jieleze kwanini Jamiiforums isikufungie.Maana Kule jalalani tu (Facebook)kama wameona unanuka je huku si utatuua.Habari za asubuhi wadau, mimi nimezuiliwa na hawa Facebook siwezi kutoa coment yoyote wanadai nimekiuka maudhui yao. Masaada wenu nifanyeje? View attachment 1130486View attachment 1130487