Mkopo wa fedha

Mkopo wa fedha

Aunt Cash

Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
88
Reaction score
97
Habar zenu wakubwa,,....katika pita pita zangu mitandaoni kuna sehem nimekuta wadai kwamba wanatoa mikopo,sasa kama mnavyojua jinsi tunavyojarbu kupambana na maisha na mi nikaona syo mbaya nijarbu bahat yangu kwa kuwa email hawa jamaa,,,...Nilikua naomba mwenye uelewa na haya mambo maana ukienda kichwa kichwa unaweza ukajikuta unapigwa za uso na mkopo usiupate,,,
Screenshot_20190617-203621~2.jpeg
Screenshot_20190617-203705.jpeg
Screenshot_20190617-203713.jpeg
 
Ok.sawa ,ila kwenye account yangu hamna chochote ,so hata nikiwapatia wataambulia patupu
mkuu nakupa onyooo! usijaribu kuwapa bank a/c watapukutisha kila kitu, na usijaribu kutuma pesa yoyote kabla ya loan yenyewe
 
Mkuu hiyo kampuni inaitwaje nasi tukakope, vipi hiyo mikopo ni unsecured kama hii ya TALA?
 
Ok.sawa ,ila kwenye account yangu hamna chochote ,so hata nikiwapatia wataambulia patupu
acha ujingaaa......ikiwa haina kitu wanakueka pending.....nawewe cku ukiweka hela tu ndo utajua tofauti kati ya sifuri na OOOO
 
Back
Top Bottom