Mkaidi hafaidi mpaka siku ya iddi

Mkaidi hafaidi mpaka siku ya iddi

Kiswaswadu

Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
24
Reaction score
58
Baada ya Mark kuonyesha yuko serious na watumiaji wote wa unofficial watsap i.e gb,nimekula ban ya 48 hrs baada ya kuleta ubishi wa kure-register kwa mara ya 3 baada ya kifungo kuisha.

Imebidi niwe mpole baada ya mwarabu kufeli kuja na anti ban,nimenyanyua mikono juu,narudi nyumbani japo watsap official imekaa kilocal sana!



2019-06-16%2019.02.46.jpeg
 
Kwa nini hamtaki kuitumia WhatsApp kama jinsi ilivyo vijana,kama imekaa kilocal kwa nini usiwasiliane na developer aifanyie marekebisho
 
Mbona hiyo ni kawaida?
Whatsup codes ukitumiwa Leo, kutumiwa tena ni baada ya siku 2.
 
Baada ya Mark kuonyesha yuko serious na watumiaji wote wa unofficial watsap i.e gb,nimekula ban ya 48 hrs baada ya kuleta ubishi wa kure-register kwa mara ya 3 baada ya kifungo kuisha.

Imebidi niwe mpole baada ya mwarabu kufeli kuja na anti ban,nimenyanyua mikono juu,narudi nyumbani japo watsap official imekaa kilocal sana!



View attachment 1129316
Umechukua hatua gani ili kuondoa huo u locality ?
 
Yani Hawa official sijui wanakwama wapi kuwa na features kama za GB,yo na FM....wangeweka waone kama wangesumbua watu na ban zao..........
 
Kwa hizi mambo gani? Mnijuzi nami nielewe wa ndugu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom