Serikali imewekeza zaidi ya billion mbili kuboresha skimu ya umwagiliaji ya Lemkuna iliyopo Wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa lengo la kuwa na uhakika wa chakuka.
Mkurugenzi mtendaji wa...
TUMELOGWA.
Na Thadei Ole Mushi
PhD Holder Harrison Mwakyembe amewataka watanzania waichangie timu ya taifa ili wapate motisha wa kucheza mpira. Hii ndio Tanzania na watanzania wenyewe ndio sisi...
Nikiwa shuleni mkoani Mara miaka michache kabla ya mwaka 2000, form three hiyo baba pindi lilikuwa ni biology topic reproduction sasa tunaandika notes na michoro ya male and female organ
Ticha...
Wadau kwema!
Kwa habari za ndani kabisa nilizozipata ni kwamba tayari serikali imeanza kuwafuta katika "payroll" watumishi wake ambao wana cheti cha darasa la saba na kuajiri nafasi hizo kwa...
Wengi hasa madereva wa boda boda na Bajaj hawatomudu.
Zoezi la kuimarisha sekta ya usafiri na kuboresha huduma za usafirishaji litadumaa.
Marekani walikuwa wanajadili kuwapa leseni za udereva...
Wadau wa JF
Kwanza niombe radhi kwa kuwa na hisia zisizo na uhalisia wowote ule. Kwa siku nyingi na pengine kwa kuongozwa na hisia potofu na ujinga wa Kihistoria nilijua Nape asili yake ni mkoa wa...
Washiriki wa Miss Arusha mwaka 2019 wapatao 22 wamepata nafasi ya kutembela hifadhi ya Taifa ya Mkomazi iliyopo Mkoani Kilimanjaro Wilayani Same na kupokelewa na mkuu wa wilaya hiyo Bi.Rosemary...
Ebwana niaje..
Hali ya kuogopa kisichokuwepo inanisumbua sana kiasi kwamba inakera na kuathiri hata mienendo yangu...
Ipo kama hivi.. Mfano nipo kwenye nyumba ambayo nje kuna mti mkubwa nakosa...
Watuhumiwa hao, Wanne kutoka Mkoani Njombe na wanne kutoka mkoani Ruvuma Wanashikiliwa na Polisi Wilayani Namtumbo kwa kufanya ramli chonganishi na kutaka kumtoa kafara mtoto mdogo
Walikamatwa...
Mko poa..
Siku hizi kutusua imekua mtihani mgumu sana mazingira yamekuwa si rafiki.. Cha kushangaza hata watu unaotegemea wakusaidie ndio haohao wa kwanza kukuwekea vikwazo..
Ukitaka kujua hili...
Mwenye uelewa anisaidie kunitofautishia majina ya Azam Tv na Uhai Tv (UTV ). Kinachofanya niombe msaada wa kueleweshwa ni baada ya jana Juni 17' 2019 kuona taarifa ya habari inarushwa kuanzia saa...
Tunaomba serikali kupitia wizara yake ya mambo ya ndani,kuimarisha doria eneo la chuo hiki kilichopo Gongo la Mboto Dar,wanafunz wamekua wakijeruhiwa ovyo na wanaoitwa vibaka na kuibiwa vitu...
“Feminism Is A Scam, It Kept Me Unmarried For 55 Years” – US Activist, Candace Owen [Video]
“I learnt too late that feminism was a scam. Today I am 55 and unmarried”.
by Slytee 6 days ago 19...
Habari wadau.Nimekuwa napata shida na aina ya vipaombele vyetu kama taifa kutoka kwa think tank wetu,lakini sielewi zaidi linapokuja suala utekelezaji WA hivyo vipaombele.Nitaeleza kwa kutumia...
Kwa njia hii vibaka wote wataisha.
Yaani IGP atangaze kabisa hadharani, mtu akihisiwa ni kibaka au akituhumiwa ni kibaka au akijihusisha na ukibaka raia wachukue sheria mikononi.
Kwa mbinu hii...
Wakuu nimevuta kausafiri kangu na kwakua mimi sio mtu wakuvunja sheria nimeamua niwe na leseni kabisa ili hata nikukutana na trafiki au TRA niwe mtu huru, katika uliza uliza za kwanza nimeambiwa...
Habari za muda huu wakuu,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu.
Mtazamo wangu katika kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia utengenezaji na uingiaji wa condom mana silaha kubwa ya kahaba ni...
Young people: you gotta live within your means! Stop spending more than you earn trying to chase what you don’t have! Your motto should be: “live below your means but within your needs”. Only...
Habari wadau wa elimu
Inasemekana kuwa malengo ya serikali(TAMISEMI) Mwaka huu ni kuwa ufaulu darasa la saba uwe asilimia 82 na ufaulu darasa la nne uwe ni asilimia 100. Sikatai ni mipango mizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.