MartinCoder
JF-Expert Member
- Feb 20, 2018
- 700
- 629
Serikali ilitoa msamaha wa kodi kwa taulo za kike kwa lengo la taulo hizo kushuka bei ili wanawake wapate unafuu kwa kiasi fulani. Ila pamoja na msamaha huo wafanyabishara hawakushusha bei ya taulo hizo.
Baada ya serikali kuona hakuna manufaa yoyote kwa kile ilichokusudia, ikaamua kupendekeza kuondoa msamaha huo. Sasa hapo nani wa kulaumiwa? Serikali au wafanyabiashara?
Cc :zitto kabwe
Baada ya serikali kuona hakuna manufaa yoyote kwa kile ilichokusudia, ikaamua kupendekeza kuondoa msamaha huo. Sasa hapo nani wa kulaumiwa? Serikali au wafanyabiashara?
Cc :zitto kabwe