Njia pekee ya kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia condom

Bob12

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
11,422
58,787
Habari za muda huu wakuu,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu.

Mtazamo wangu katika kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia utengenezaji na uingiaji wa condom mana silaha kubwa ya kahaba ni condom.

Hii si kwamba itasaidia kutokomeza ukahaba bali hata ngono zitapungua sana.

Nawasilisha
 
Ukahaba haukuanza jana wala juzi, ulikuwepo hata kabla ya Kristu.
 
UKAHABA ulikuwepo hata kabla ya CONDOM kutengenezwa.
Ila zama hizi magonjwa ni mengi sana tofauti na hapo awali,ndo mana hakuna kahaba zama hizi anayekubali kufanya bila condom
 
Njia pekee ya kupunguza ukahaba ni kupandisha bei ya huduma, hivyo kaweke kikao na makahaba mpange bei mpya kima cha nini kiwe 120,000/= kwa saa, usiku kucha 250,000/= bila shaka wateja watapungua na ndoa zitakuwa nyingi na zenye kudumu.
 
Kuna wengine watashusha tuu
 
Habari za muda huu wakuu,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu.

Mtazamo wangu katika kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia utengenezaji na uingiaji wa condom mana silaha kubwa ya kahaba ni condom.

Hii si kwamba itasaidia kutokomeza ukahaba bali hata ngono zitapungua sana.

Nawasilisha
Ila madhara yake ni makubwa kuliko udhaniavyo.
 
Mtoa hoja sijakuelewa kuna uhusiano gani kati ya ukahaba na condom mbona hata walio katika ndoa wanatumia condom kama njia ya kuweka uzazi wa mpango, pia huoni kuwa watu wakifanya mapenzi bila kutumia condom mimba zisizotarajiwa na utoaji mimba utaongezeka, huoni pia kwakutotumia condom idadi ya maambukizi itaongezeka.
 
Uzazi wa mpango nakubali japo ni kiasi kidogo sana mana hapa tz sindano,vidonge,na vitanzi ndo vinatumika sana ktk njia ya uzazi wa mpango wanaume wengi walio ktk ndoa hawapendi sana kutumia condom.
Kuhusu magonjwa na mimba za watu ambao wanafanya uzinzi itabidi wamtoe huyo mdudu ngono kichwani kwao
 
Ila zama hizi magonjwa ni mengi sana tofauti na hapo awali,ndo mana hakuna kahaba zama hizi anayekubali kufanya bila condom
Wapo sema bei yake huwa anapandisha tofauti na ukifanya kwa condom
 
Njia pekee ya kupunguza ukahaba ni kupandisha bei ya huduma, hivyo kaweke kikao na makahaba mpange bei mpya kima cha nini kiwe 120,000/= kwa saa, usiku kucha 250,000/= bila shaka wateja watapungua na ndoa zitakuwa nyingi na zenye kudumu.
We unafikiri kahaba gani ambae hajipendi apandishe bei hadi 120,000 ili akose wateja alale njaa thubutu!! Makahaba wenyewe wanajua kuwa mmoja kati yao akipandisha bei wengne wanashusha
 
Habari za muda huu wakuu,
Poleni na majukumu ya kujenga taifa letu.

Mtazamo wangu katika kutokomeza ukahaba Tanzania ni kuzuia utengenezaji na uingiaji wa condom mana silaha kubwa ya kahaba ni condom.

Hii si kwamba itasaidia kutokomeza ukahaba bali hata ngono zitapungua sana.

Nawasilisha

Km kana ukweli flani
 
Back
Top Bottom