DAH, Inakuaje hii?

DAH, Inakuaje hii?

PANTHERA LEO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
2,309
Reaction score
3,447
Wakuu naomba nisaidieni kunielewesha... Nimepokea barua ya kudaiwa kodi ya nyumba/kodi ya pango kutoka TRA... Sasa hapa kuna sehemu imeandikwa "Thamani ya kutozwa kodi shs 5,000,000/=.." ..

Hiyo Milioni 5 sijaelewa inahusianaje.. Na mwisho kabisa wakaniambia jumla ya kiasi ninacho daiwa ni elfu thelathini na nne...

Mimi nataka kujua hiyo milioni 5 inanihusu nini mimi?

Alafu kwanini tunadaiwa wakati viwanja ndio tumepimiwa tu mwezi uliopita.. Hayo madeni yanatoka wapi?View attachment 1133748
IMG_20190621_201349_3.jpeg
 
Back
Top Bottom