Wapi naweza kupata mashine za kushonea mifuko ya unga

Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,334
2,000
Wakuu Habari za asubuhi? Kwa mdau anayefahamu mahali ambako naweza kupata zile mashine zinatumika kushonea mifuko ya unga wa sembe, dona au ngano. Iwe kwa Dar au Mwanza. Nitashukuru ukiweka pia mawasiliano yao hapa! Asante ni sana wakuu majukumu mema ya UJENZI wa Taifa huku tukiugulia 2-0! Timu haikupiga on target hata 1 kazi tunayo!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom