HUYU ATHUMANI AU ASUMANI NI WA NAMNA GANI??

kabatimpya

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
231
250
Habarini wakuu.
Kila Siku mie huwa nataka kumfahamu Huyu bwana au bibi aitwae Athumani wengine humwita asumani ni NANI Ktk ulimwengu huu?
Huyu mheshimiwa anapenda sana kujitukuza na kujifananisha na muumba wetu MUNGU.
Mara kibao huwa nawasikia watu wakimshukuru mungu na mapambio ya kumkana huyo Athumani.
Unawasikia wakisema nimefanikiwa au nimeshinda kesi, nimepata hiki au kile nk na kusema MUNGU SI ASUMANI.
HUYO ATHUMANI ALISHINDANA NINI NA MUUMBA WETU?.
Nawaombeni mwenye kumuelewa anijuze.
 
Mr.Wenger

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
1,749
2,000
Tungeweza kusema Mungu si Binadamu kwa kumaanisha Mungu hana hulka za kibinadamu kama upendeleo, choyo, roho mbaya, usaliti, wivu na sifa nyingine hasi alizonazo Binadamu. Lakini tumemua kutumia jina Athumani kumuwakilisha Binadamu, sasa swali linakuja kwanini ni Athumani na sio Bashite? Me sijui
 
Chilogole

JF-Expert Member
Jun 18, 2019
292
500
Tungeweza kusema Mungu si Binadamu kwa kumaanisha Mungu hana hulka za kibinadamu kama upendeleo, choyo, roho mbaya, usaliti, wivu na sifa nyingine hasi alizonazo Binadamu. Lakini tumemua kutumia jina Athumani kumuwakilisha Binadamu, sasa swali linakuja kwanini ni Athumani na sio Bashite? Me sijui
Du jamii forum ni habari nyingine aisee usipocheka haupo normal
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom