Jambo hili linanitatiza kwa muda mrefu Sasa nashindwa kupata majibu wanna jf wenzangu

benwise

Member
Oct 24, 2015
98
71
Habari za wakati huu wakuu,polen na hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa letu la Tanzania.
Naomba nirudi katika mada.nimejiunga na jf takriban miaka mitatu Sasa na ni mfuatiliaji mzuri wa mada za humu kiasi kwamba Mara nyingi haipiti siku sijaingia humu jamvini.ishu inayonitatiza humu inawezekana wengine watanishangaa lakin wahenga walisema kuuliza si ujinga na ninaamini nitapata majibu hapa.tangu naanza kutumia jf nimeona majina mengi yakipambwa na wasifu tofautitofauti Kama expert member, senior na verified member,ila katika hali ya kunishangaza title katika id yangu ni ileile haibadiliki il hali Kuna mamia Kama sio maelfu ya I'd mpya zimenikuta na tayari Zina title za u expert na nyinginezo.naombeni mnielekeze wakuu kuhusu hili nijue Lina utaratibu upi sababu linanikereketa kwa muda mrefu sana
 
Unataka tittle ipi? Sema nikupe. Kwa mfano, kuanzia sasa wewe ni Senior member
 
Una posti chache sana, jaribu kucreate new posti na ku coment posti kila siku utaona mabadiliko
 
Miaka mitatu mimi nina miaka tisa na hivo vitu siviitaji poke mkuu kwa majanga unayojitakia. Kumbe kuna watu wanasumbuka na maujinga fulani bhan
 
Back
Top Bottom