Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanini Sector ya sheria (legal services) haizalishi ma billionaire ilhali huduma hii ina demand siku zote ??
0 Reactions
15 Replies
209 Views
Kumbe ni sehemu tulivu pazuri kuliko hata Sinza ni watu tu waliamua kutuaminisha ujinga
2 Reactions
5 Replies
238 Views
Wapi wanafudisha kuongea lugha ya kichina?
3 Reactions
9 Replies
171 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Stephen Wasira, amesema ujamaa bado ni msingi mkuu unaoendesha sera na mipango ya maendeleo nchini. Akizungumza na wanachama wa CCM mjini...
2 Reactions
8 Replies
177 Views
Anonymous
Mimi ni mdau wa JamiiForums, nipo Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Tarafa ya Nyamhongoro, Kata ya Ibwinza. Kwa muda mrefu tumekuwa tukitegemea kisima kimoja kwa ajili ya kupata maji ya matumizi ya kila...
1 Reactions
5 Replies
218 Views
Maeno haya yamekuwa na ukosefu wa maji kwa muda mrefu licha uwepo wa miradi mikubwa ya maji kuzunguka maeneo husika. Hali hii inaathiri sio tu wananchi wa maeneo hao bali pia taasisi za elimu...
1 Reactions
3 Replies
140 Views
Huwezi amini wametangaza viwanja kwenye mfumo wa tausi kama kutimiza majukumu tu. Wametoa siku tano za preview. Viwanja vilitakiwa kuanza kununuliwa tarehe 5/06/2026 saa nne kamili asubuhi...
5 Reactions
17 Replies
320 Views
Serikali imewaeleza wakazi wa Sinza kuwa Mpango wa Uendelezaji Upya wa Eneo la Sinza wa mwaka 2026-2046 haulengi kuwaondoa wananchi katika maeneo yao, bali kuboresha matumizi ya ardhi, kuongeza...
1 Reactions
0 Replies
200 Views
Hili ni moja ya anguko KUBWA mno kuwahi kulishuhudia tangu nianze kufuatilia bei za mazao Unadhani kwanini jambo hili limetokea?
3 Reactions
45 Replies
908 Views
Nimekuwa nikipitia majukwaa kama ya Uchumi biashara ufugaji Kilimo Nyuzi za majukwaa haya zinaonyesha kuwa viewed na Watu wengi Mfano 8K 9K 5K . Lakini kinachoshangaza Reply unakuta chache sana...
7 Reactions
38 Replies
347 Views
Wakuu naomba msaada, hivi ni mmi pekee ninaye pata changamoto na customercare ya CRDB bank? Shida ipo wapi kwenye bank hii, Nilikjua wamebdirika, mbona malingo mengi sana. Mbona customer ya...
1 Reactions
5 Replies
262 Views
Anonymous (aeb0)
Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za...
0 Reactions
3 Replies
180 Views
Huyu mwamba kaupata ukuu wa shule akiwa na umri mdogo zaidi zaidi ya miaka 15 iliyopita.Ila hajawahi kuwaangusha Maafisa elimu waliompa dhamana ya kuwaongoza walimu. Maafisa elimu wote waliowahi...
1 Reactions
21 Replies
356 Views
Naomba niandike kwa ufupi Kitendo cha wewe kujijua ni wewe, kulitambua jina lako, kuutambua vyema mwili wako, kipi unapenda na kipi hupendi, huyo ni nafsi wako mkuu, na huyo ndio wewe, kama...
0 Reactions
1 Replies
154 Views
Amani kwako mdau. Taarifa kila mtu kaiona kama siyo kuisoma. Naandika tena, twendeni Urusi!. Tuna mwezi mmoja huu wa june kutamatika na kufunga mwaka wa kiserikali. Bunge limepitisha bajeti...
10 Reactions
12 Replies
295 Views
Suala la mmoja wa watoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour (Komandoo), sasa limevuka mipaka ya utapeli wa kawaida na limekuwa jambo la usalama na uchafuzi wa taswira ya nchi...
3 Reactions
4 Replies
290 Views
Assume, fikiria njaa imekukaba kweli kweli. Umetoka nje kutafuta chakula haraka ili kuondoa makali ya njaa, kisha unaingia mgahawa wa kawaida tu kuokoa muda. Unaagiza ugali au wali na mboga...
5 Reactions
8 Replies
168 Views
Nani mtu wako wa kwanza kumcheki pale unapotaka kufanya maamuzi ya jambo Fulani mathalani masiala ya kifedha,kazi,mahusiano n.k Yani likitokea Jambo tu lazima umcheki ni nani huyo?
0 Reactions
3 Replies
114 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…