Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habar wana jamii forum mm ni kijana wa kitanzania ninahitaji msaada wa namna gani ninaweza kupata mfadhir au wafadhir wa miradi (project) kutoka ndani au nje ya nchi kwa yeyote anaefaham namna ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni comrade kipee once again! natelezea humu jukwaani mithili ya kibonge aliekanyaga ganda la ndizi mbivu! nimeona maHALI eti mkojo wa kondoo unasadia kutibu watu kama sisi ambao hadi mda huu sa...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro limewasimamisha kazi watumishi sita kupisha uchunguzi wa tuhuma za ubadhirifu wa fedha pamoja na kufanya manunuzi yanayotia shaka. Baraza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello Natafuta mtu wa kutengeneza logo, logo ziwe zenye quality nzuri ya kawaida, sihitaji mambo mengi. Bei iwe fair. Njoo pm unipe namba then utanitumia kazi zako na bei. Nikiridhika nitakupa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mnamo tarehe 25..06.2019 majira ya 05:45hrs maeneo ya Izazi kata ya Izazi tarafa ya Ismani wilaya ya Iringa na mkoa wa Iringa katika barabara kuu ya Iringa-Dodoma. Gari lenye namba za usajili STL...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Maisha ni popote duniani maisha ya USA ni magumu sana lazima ufanye kazi wewe .Msiweke maisha hatarini kwa ajili ya kutaka kwenda pa kawaida tu hapa
1 Reactions
19 Replies
2K Views
https://www.newtimes.co.rw/opinions/editorial-how-rwandas-economy-faring-ask-world-bank TAHARIRI New Times yasifu umakini wa Rais Magufuli wa Tanzania, lamtaja kuwa mmoja wa Marais pekee Afrika...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari. Kwenu wajuvi wa Mambo . Naomba kujua ni taratibu zipi ninatakiwa kufuata ili kuweza kuwa na KAMPUNI juu ya maswala ya WOMEN FOUNDATION(s). 1.Jinsi ya kujisajili 2.ADA na terms zinginezo za...
1 Reactions
2 Replies
871 Views
Yani nikengua na uwezo wa kufutilia mbali nchi moja hapa dunia "wanaigeria" wangenisamehe
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna jamaa no 0652224354 anajiita Patrick toka tigo usajiri wa laini yake ni Zena Mkumba,kanipigia akidai nimetumiwa pesa kimakosa baada ya stori akataka kujua salio lililo baki kwenye akaunti...
3 Reactions
37 Replies
6K Views
https://www.newtimes.co.rw/opi...-economy-faring-ask-world-bank TAHARIRI New Times yasifu umakini wa Rais Magufuli wa Tanzania, lamtaja kuwa mmoja wa Marais pekee Afrika pamoja na Kagame wa...
1 Reactions
0 Replies
756 Views
Nawasalimu wakuu, Mimi ni mhasibu (kwa uzoefu😆😆) katika taasisi yangu. Ninakauzoefu kidogo matumizi ya FFARS katika kufanya miamala ya mapato na matumizi, recociliation, adjustment atl. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Kabla ya yote naomba nitoe pole kwa watanzania wote na hasa walioguswa moja kwa moja na msiba wa watoto, na wadogo zetu, uliotokea wakielekea karatu(R.I.P) Baada ya pole...
1 Reactions
21 Replies
16K Views
Nimefuatilia kauli za spika akijitetea bungeni eti hawajawalaumu wachezaji. Katika mazingira haya ukiambiwa dhaifu utakataa? Kauli alizotamka juma nkamia tena mbele yako unadhani zina afya kwenye...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Wale mliozaliwa miaka ya 1995 kurudi nyuma mnayakumbuka haya? 1. Kung'oa jino kwa kutumia Uzi 2. Kupamba kadi na pamba sebuleni 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Ukumbi wa starehe kupambwa kwa...
32 Reactions
196 Replies
25K Views
Kama nilivyodokeza hapo juu. Baada ya Xmass kuisha nageuza kibaruani kwangu South lkn ratiba ya mwenyeji wangu ni kutembelea cousin wake aliyeko Namibia kwa ajili sherehe ya mwaka mpya. Napenda...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimemuona akisema ana mambo makubwa juu ya taifa stars lakini hataki tuu kuyasema jee ana maana kamati ya uhamasishaji imevurugika?jee kuna upigaji wa pesa umetokea mpaka kutamka wachezaji wana...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwenye cheti cha ndoa Mwanaume alitumia jina la kwanza lile la Ubatizo,na siyo lile la kwanza la kiacademic au kiserikali. Kwa sasa mwanaume anataka kumkatia bima ya afya mke wake kupitia ajira...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
This is so sad. See a poetry write up about Africa The land of Generals without war, Professors without discovery, Politicians without ideology, Wealth without prosperity, Religion without piety...
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Rais Magufuli amesema kufungwa goli mbili na moja ya timu inayoongoza Afrika ambayo Wachezaji wake wote wanacheza nje si mwanzo mbaya sana ila wasikate tamaa na kujituma zaidi Aidha, amewasihi...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Back
Top Bottom