Elmura Solutions ltd ndio sehemu pekee ya kuweza kufanyiwa marekebisho ya simu yako.
Ipad,tablets
Iphone
Samsung
Sony Experia
Pia tuna uza Powerbank ubora wa hali ya juu Warranty 1yr...
Moja kwa moja kwenye mada kwa ufundishaji huu mnaotumia mtaendelea kuzalisha Wahandisi wasio na uwezo kwenye utendaji kazi.
Haiwezekani mwanafunzi anamaliza chuo kichwani ni mweupe yani ukimpa...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirikia la Viwango Tanzania (TBS) kuacha urasimu huku akimtaka Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na...
Geita. Katika hali isiyo ya kawaida, Wanafunzi sita wenye umri kati ya miaka 13-16 wamekatwa baada ya watatu kati yao wa shule ya msingi, kutoroka nyumbani na kwenda kuishi unyumba na wanafunzi wa...
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
Habari wakuu, tunaambiwa Kuna umoja wa Africa unaoziunganisha nchi zote kuwa kitu kimoja. Hii kitu imekaaje kwa wenzetu kukamatwa kila siku wakielekea SA kwa madiba?
Je hii organization inasimamia...
Serikali ya Mheshimiwa rais Magufuli ni ya viwanda. Vipi mtu atafungua kiwanda kama hana usajili wa kampuni kwa wakati? Usumbufu huu kwanini viongozi wanaunyamazia? Maendeleo yatapatikana vipi...
Wakuu habari ninaomba kama wewe umefika nchi ya Iceland au unaishi huko naomba mwongozo maisha ya kule yakoje biashara,hali ya hewa nk ninampango wa kwenda kuishi huko pia na mchakato wa kupata...
Wapenzi wana jf kwa hali ilivyo sasa duniani inatisha, zamani tulikuwa tukisikia tu mambo mbalimbali ya ajabu lakini hivi leo tunayashuhudia. Mambo ambayo mimi binafsi yananikera na kunifedhehesha...
RNinaamini kabsa kila tunachokiona leo kimebuniwa.
Ni lengo kwenye shabaha moja kwa moja.
Muundo wa mwili wa binadamu unafanya iwepo haja ya kuwako mbunifu wake.
Wanasayansi...
Gharama ninayotumia you tube inaniyumbisha sasa kiuchumi! Picha za ki-Nigeria zimenikamata Mbaya! Kiasi kwamba nikipata dakika Kumi tu utanikuta youtube. Nisaidieni nitokeje kwenye ulevi huu wa...
Wakuu habari zenu
Naomba msaada wa maawasiliano ya moja kwa moja na makampuni tajwa hapo juu
aidha awe afisa masoko au mtu yeyote ndani ya kampuni. aidha nikielekezwa mahali ofisi kwa Dsm zilipo...
Kumetokea changamoto ya Polisi kupita mitaani kwenye Vibanda umiza vinavyoonesha Mipira na Bar kukukamata washabiki wa mpira kuanzia saa 6 usiku hivyo kuleta usumbufu kwa mashabiki wa soka,
Sasa...
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyojieleza,yafuatayo ni mambo kumi (10) ambayo kama binadamu haipendezi/haipaswi kuyafanya:-
1. Kuwambia watu matatizo yako: Acha hii haifai labda endapo...
Usimlazimishe mtu kuona umuhimu wako, ipo siku ambayo atagundua umuhimu wako. Siku ambayo umeme utakatika na anatakiwa kutoka itabidi aone umuhimu wa pasi ya mkaa!
Tulia tu, jiamini, wewe ni wa...
In Summary
Madereva bajaji katika soko kuu la mkoa wa Rukwa wameendelesha mgomo wa kutoa huduma ya usafiri wakipinga agizo la serikali ya wilaya ya Sumbawanga mkoani humo la kuwataka kuwa na...
Kweli kama moja ya Raia wa Kitanzania, nimesikitishwa sana na kitendo cha Msanii Jaguar (nick name) kwa kauli yake ya kibaguzi dhidi ya Raia wa Kigeni.
Katika mkutano wake na Raia wa Kenya...
*Why Tanzanian NGOs Adopt Bribe Strategy to Stop NGO Law Review? Inside the World of the Most Dubious Social Advocates*
A dozen local Non- Governmental Organisations (NGO’s) in Tanzania are...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.