Ukipewa nafasi ya ku-delet au ku-clear nchi moja duniani unge futilia mbali nchi gani.?

Toa sababu zako kuchukia mtu mwingine aliyezaliwa na mwanamke ka wewe. Umfutilie mbali!! This is to much. Roho hiyo ndo imewajaa wa tz wengi leo kiasi cha kumuona mtu asiyekubaliana na wewe kuwa anastahili kutoweka juu ya uso wa nchi. Utapata faida gani??
 
dhu naona umekuja kumwaga povu, ngoja siku ukiingia ndani ya 18 za wanaigeria utajua suhuli yao
 
Ningekuwa na punje ya uwezo wa kufuta hata kitu kimoja kilichoumbwa na Mungu basi ningeanza kuifutilia mbali Dhambi!! Kwani nchi ina kosa gani hadi nifikirie kuifuta? Labda niwafute viongozi wake!
 
Tanzania

Ningewaambia wakaunge juhudi kwenye nchi zilizo endelea maana wao wameshindwa kuiendeleza yao
 
dhu naona umekuja kumwaga povu, ngoja siku ukiingia ndani ya 18 za wanaigeria utajua suhuli yao

Usidhani kuwa wote wenye kingereza shughuli ni wanaijeria tu, Wengine wanatokea Ghana, wengine Siera, wengine Chad. Hayo majitu ya huko nayajua hakuna hata limoja jema labda yule aliyeko kaburini lakini hilo halinifanyi niombe ruksa ya kuyafyekelea mbali.
Hapa hapa home yapo makabila ambayo ungelipewa ruksa hata jioni hufiki umesha yanywesha sumu yafwe lakini bado tunawapenda, tunawaowa nk.
 
Tuombe tu IRAN mission yao ya kuifuta Israel katika ramani ya dunia itimie
 
Back
Top Bottom