IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Nimefuatilia kauli za spika akijitetea bungeni eti hawajawalaumu wachezaji.
Katika mazingira haya ukiambiwa dhaifu utakataa?
Kauli alizotamka juma nkamia tena mbele yako unadhani zina afya kwenye mpira?
Wewe mwenyewe umetamka kauli za ambazo si nzuri.
Kiukweli km wabunge mmekosea sana ,taulo limedondoka chutama.