Nahitaji kupata wadhamini wa miradi (project)

Chimunu

Senior Member
Mar 4, 2013
159
25
Habar wana jamii forum mm ni kijana wa kitanzania ninahitaji msaada wa namna gani ninaweza kupata mfadhir au wafadhir wa miradi (project) kutoka ndani au nje ya nchi kwa yeyote anaefaham namna ya kupata wafadhir anielekeze maana nina project tatu ambazo zikipata ufadhir zinaweza kutoa fursa ya kuajil baadhi ya wwatanzania karibun kwa msaada
 
Back
Top Bottom