Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Afrika tumefanya dhambi ya namna tulivyoupokea usasa.Usasa kutoka Magharibi ni wanasayansi kututimizia hisia zilizoundwa na watangulizi wao. Watangulizi wa mabeberu ni wamishenari.msinywe togwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. KALIBU (MATH. 6: 30)- jiko la moto mkali. 2. NGAMIA (Math. 23:24) - masimbi,masira; mabaki mazito ya pombe kama vile pombe ya mvinyo au ulanzi. kwa kibena " MBOSO", husababisha pombe kuwa kali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KATIKA AGANO LA KALE: Utoaji wa sadaka kwa kila mtu kwa ajili ya ukombozi wa roho yake.(Kut 30:12,14). A). Sharti la umri: Tangu huyo mwenye umri wa miaka 20, au zaidi. B). Sharti la kiwango...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Watu wengi wanaamini katika kuajiriwa kuliko kujiajiri, wazazi wengi wanatumia pesa nyingi kuwatafutia vijana wao kazi, lakini ni wachache wanaoweza kuwapa vijana wao mitaji kwa ajili ya biashara...
40 Reactions
171 Replies
16K Views
Tokea kauli ya mbunge wa jimbo la sherehe maarufu kama jaguar ya kutaka kwaondoa wageni nchini mwao kinguvu tukiwemo sisi watz. Je kuna tahadhari zozote zilizochukuliwa kuwalinda wananchi wetu...
0 Reactions
5 Replies
744 Views
Habarini Wadau, Ni kwanini watu wengi inawatokea hali ya kuogopa vitundu vingi vikiwapo mahali pamoja? Wazungu wanaita Trypophobia au fear of the holes. Uogopaji wa vitundu au vishimo. Ni nini...
0 Reactions
51 Replies
11K Views
Habar zenu ndugu zangu?.Natokea wilaya ya Muleba, mkoani Kagera, naombeni msaada wa mawazo na muongozo kwa wale wanachama wa LAPF. Nilijifungua mwaka Jana 10/8/2018 nilijaza fomu na kuweka...
1 Reactions
14 Replies
51K Views
Mna mikasa ya ajabu ajabu ambayo haina mafunzo ZAIDI YA KUTISHA WASIKILIZAJI..... ni sawa na mnavyotangaza BIKO na kusifia nyimbo za singeli na MKUDE SIMBA. Yaani hizo stories zenu nyingi ni za...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Deleted member 536137
Tumezoea kuona picha za Askari Polisi wa Tanzania wakiwa wanapiga Wananchi na kutuhumiwa kwa mengi tuu ambayo ni hasi Sasa basi hembu tuoneshe picha mojawapo nzuri ya Askari wetu wakifanya kazi...
8 Reactions
36 Replies
10K Views
Wakuu. Hatutakiwi kukaa kimya akija kupigwa au kudhurika Mtanzania hata mmoja hapo kenya na sisi tuchome na kuharibu sehemu zote walizowekeza wakenya hapa kwetu. Wasitufanye kama vile sisi hatuna...
13 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari wanajamvi Kwanza nitoe pongezi kwa serikali kwa kuipunguzia majukumu TFDA na kubaki na jukumu moja la madawa na vifaa tiba pekee mambo ya vyakula na yamepelekwa TBS maana ulikuwa mwiba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na malalamiko kuwa mengi katika mchakato wa utoaji wa ajira za umma hasa kwa watu wenye vigezo sawa, napendekeza utumishi wa umma uangalie mfumo mpya wa kutoa ajira na ikiwezekana sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampuni 25 zilizochota CIS kufilisiwa Theopista Nsanzugwanko Daily News; Monday,February 23, 2009 @19:28 Kampuni ya Msolopa Investment Limited iliyopewa jukumu la kukusanya madeni ya Sh...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Ukisikia maneno haya yakitamkwa ujue hapo hamna jipya,jiongeze na endelea na mitikasi yako. 1. Mpango mkakati 2. Ikukupendeza mheshimiwa 3. Rais wa wanyonge John Pombe Joseph Magufuli 4...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Inasikitisha sana uwapo katika makutano ya barabara pale ambapo waendesha pikipiki wanavyotawala dunia yao ya sheria za barabarani. Si salama kabisa kwa watumiaji wengine wa barabara ie wenye...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw Xavier Daudi amewataka waombaji wote wa fursa za Ajira Serikalini kuhakikisha wanafuatilia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mkristo ila sijawahi kuelewa ukristo na nilishaachana nao kitambo sana. Katika pitapita zangu mtaani na ndg na jamaa nimegundua asilimia kubwa ya vijana hawajihusishi tena na masuala ya...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Kinachoendelea ni dalili za rushwa watu kuweka watu wao. Mtaalamu wa NIT aliwafanyisha practical ya uendeshaji, akamaliza vijana wakachaguliwa. Wakawa wanasubiri ORAL interview. Leo ameondoka...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Mh waziri wa nishati wakati wa uzinduzi wa Taifa gas alitoa bei za gas kwa majirani zetu Kenya kuwa ni tshs 3,500/= kwa kg na Uganda tshs 4,100/= na Tz tshs 3,100 kwa kg hivyo kujipambanua kuwa Tz...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
DeletedMember281674
Wanabodi...! Msimamo wa umoja wa wamiliki wa vyombo vya habari nchini Tanzania, kwa kauli moja wapo mbioni kutoa tamko juu ya kutopiga nyimbo za Jaguar katika vyombo vyao vya radio na television...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom