Ukisema kampuni, mtakuwa mnafanya biashara na kutengeneza faida? Au unamaanisha taasisi isiyo ya kiserikali (Non Governmental Organisation, NGO) kwa huduma kwa jamii bila ya kutengeneza faida?
Kwa Biashara, nenda wizara ya biashara usajili kampuni yako, na pia TRA.