Ndugu zangu Marekani sio mbinguni Angalieni picha ya immigrant baba na mtoto wakijaribu kuogelea kuja USA

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Maisha ni popote duniani maisha ya USA ni magumu sana lazima ufanye kazi wewe .Msiweke maisha hatarini kwa ajili ya kutaka kwenda pa kawaida tu hapa
 
Attachments

  • D830CF46-AB7F-4BFA-973F-09146A7C19F2.jpeg
    D830CF46-AB7F-4BFA-973F-09146A7C19F2.jpeg
    65.2 KB · Views: 43
wenzenu wazungu wakija afrika wanapiga picha sehemu za slum,nyie mkiwa majuu mnachagua kupiga picha sehemu nzuri,sasa watu wakiona wanadhani marekani ni mbinguni kuweni wazalendo nyinyi kwanza kwa kuleta image za slum za huko
 
Maisha ni popote duniani maisha ya USA ni magumu sana lazima ufanye kazi wewe .Msiweke maisha hatarini kwa ajili ya kutaka kwenda pa kawaida tu hapa
Kwa hiyo tatizo ni kufanya kazi tu? WaTz tuache uvivu!
 
Maisha ni popote duniani maisha ya USA ni magumu sana lazima ufanye kazi wewe .Msiweke maisha hatarini kwa ajili ya kutaka kwenda pa kawaida tu hapa

Watu wanaenda kutafuta maisha so hata kama maisha magumu ukifanya kazi si unapata hela walipo wamekosa kazi ili wapate hayo maisha nyie mnaishi kwenye hayo maisha magumu mnarudi kwenye na hela mmenenepa mnajenga na kununua magari ugumu gani wa maisha unayozungumzia hapo ndo uchawi wa bongo ulivyo eti anaona wivu mwenzie akienda kutafuta maisha kama yeye nenda kwenu ukaishi kama utaweza
 
Africa ni sehemu hatar sana ktk uso wa Dunia,ni heri ufe ukijaribu kuitetea nafsi yako kuliko kubaki kwenye mikono ya mtu mweusi...mara ngapi tunasikia watu wanatekwa hapa Tz?
Je,ulishawahi kusikia nchini Marekani mtu katekwa na serikali ikakaa kimya?
Let's them swim to US!
 
Acha propaganda boss, U.S. maisha magumu yapo kwa migrants tena ambao hawana akili, hakuna maisha magumu kule ila ukiyataka unayapata.

Hivi maisha ya bongo yalivyo ya ki mbwa mbwa ufananishe na ya kule come on bro grow up
 
Umekaa comfortable kabisa unachat/comment humu....hata mlio wa risasi hujasikia..... unakwenda kazini kwako unarudi....yet unakuja humu kusema tz sio salama are you mad or something!!?
 
Kweli
wenzenu wazungu wakija afrika wanapiga picha sehemu za slum,nyie mkiwa majuu mnachagua kupiga picha sehemu nzuri,sasa watu wakiona wanadhani marekani ni mbinguni kuweni wazalendo nyinyi kwanza kwa kuleta image za slum za huko
 
Hahaha
Acha propaganda boss, U.S. maisha magumu yapo kwa migrants tena ambao hawana akili, hakuna maisha magumu kule ila ukiyataka unayapata.

Hivi maisha ya bongo yalivyo ya ki mbwa mbwa ufananishe na ya kule come on bro grow up
 
Mungu kaumba dunia moja tu mipaka kaweka mwanadamu tu .Kama mimea tu kama unaona mahali fulani huwezi kustawi nenda mahala pengine utakapostawi.
 
Maisha mazuri ni hela....sio mahali....tek that
Ni kweli,ukishakuwa na hela huko USA kunaendeka bila ya shida yoyote,nadhani shida hapa ni uvivu watu wakidhani kuwa ukiwa USA hela inamwagwa kwa kila mtu kirahisi,nina jamaa zangu wawili wako kule maisha yao ni ya kawaida sana...
 
Back
Top Bottom